Naombeni Ushauri: Dalili za mtu ambaye ni HIV carrier

Naombeni Ushauri: Dalili za mtu ambaye ni HIV carrier

Utando mweupe kwenye ulimi hasa pempeni pembeni,

lakini hawezi kukosa vi homa homa labda akiishaa anza dawa

wana hamu ya mapenzi kupitiliza lakini akiishaanza dawa ikamkubali

hawezi kumaliza wiki bila kuumwa kichwa.

Hata kamaa ameishaanza dawa hawezi kumaliza mwezi bila ka kikohozi kwa mbali

kama ni mwanamke dawa zikimkubali anapendeza kiasi kwamba kila apitapo lazima wanaume vikojoleo vyao viwasimame kama minara ya simu

hawapendi kupima afya na hawapendi kutumia kinga.etc etcccc
 
Kuna dalili zinaonekana kwa macho Arabian queen na luckyline wamezitaja...naona kuna watu humu mmeanza kumchukulia mleta uzi kama mwathirika,its not fair.
 
Kuna magonjwa mengi siku hizi yanaharibu kinga na kuwa na dalili Kama umeambukizwa HIV.
Nenda kapime.
Ukikutana na mtu aliyepigwa vizuri na kisukari utajua ni HIV
 
1)kua na homa mda wote kufikia mpk kiwango 102 degrees c.
2)uchovu,mwili kuchoka mda wote.
3)kuuma kwa misuli,kupata maumivu ktk tezi mfano kwapa,maeneo ya shingon.n.k
3)kuvimba kwa koo.
4)maumiv ya kichwa mara kwa mara
5)vipele pele ktk mwili,hua vinawasha sn.
6)kuhis kichefchef,kutapika pia kuharisha.
7)kua na kikohozi kikavu
8)kuanza kupungua uzito taratibu.
9)kutokwa na jasho usiku
10)kupata siku mwezi(period)bila mpangilio.
Kweli kabsa kuhusu kuumwa kichwa mara kwa mara
 
Tuna karibia mwaka , na tunatumia kinga lakn hizi kinga siziamin ndo maana natafuta solution kama mtu mwenyewe hataki kupima naweza mjua kwa njia gani
Huyo anachepuka sanaa ndio maana hivyo anaogopa ,wewe hata hauelewi kama unamuamini muombe simu yake ushinde nayo umuangalie ,,kuna jamaa wangu kupma hataki kusikia maana katembeaa na watu sehemu mbaya sana na anaenda kavu

Pia kama mtu wako mkiwa naye ni nan ambaye anamwambia mwenzake kutumiaa kondom ,,

Kama ni wewe unamlazimishaa ila yeye anapenda kwenda peku bhas jua na kwa wengne anaenda peku sana
 
Utando mweupe kwenye ulimi hasa pempeni pembeni,

lakini hawezi kukosa vi homa homa labda akiishaa anza dawa

wana hamu ya mapenzi kupitiliza lakini akiishaanza dawa ikamkubali

hawezi kumaliza wiki bila kuumwa kichwa.

Hata kamaa ameishaanza dawa hawezi kumaliza mwezi bila ka kikohozi kwa mbali

kama ni mwanamke dawa zikimkubali anapendeza kiasi kwamba kila apitapo lazima wanaume vikojoleo vyao viwasimame kama minara ya simu

hawapendi kupima afya na hawapendi kutumia kinga.etc etcccc
Ukimuambia tukapme anaweza kukimbiaa
 
Kinga mwaka mzima..acha kudanganya watu wazima wenzako humu basi.
Kinga inafanya delay ya ejoculation halaf mtu akuoigie nayo mwaka mzima....hahaa la kwanza la pili la tatu huwa inachomolewa na kutupwa pemben au hizo za kutupwa pemben huwa huhesabu?
Hayo ndo mawazo yako sio reality so its up to u kuona ukweli au uongo maana watu kama nyie hamkosi na utambue kwamba kuwa katika mahusiano sio kufanya ngono kila siku kama unavodhani ndo mana labda unaona mwaka mwingi
 
Huyo anachepuka sanaa ndio maana hivyo anaogopa ,wewe hata hauelewi kama unamuamini muombe simu yake ushinde nayo umuangalie ,,kuna jamaa wangu kupma hataki kusikia maana katembeaa na watu sehemu mbaya sana na anaenda kavu

Pia kama mtu wako mkiwa naye ni nan ambaye anamwambia mwenzake kutumiaa kondom ,,

Kama ni wewe unamlazimishaa ila yeye anapenda kwenda peku bhas jua na kwa wengne anaenda peku sana
Yaani kiukweli sipendi kutumia mpira ndo maana namshawishi akapime ili tukiaminiana tuachane na mipira alaf namwambia sometimes nenda mwenyewe sio lazima uende na mm , na ye huwa anasema et anaogopa kunipoteza kama ikitokea anao
 
Huyo sehemu alizopita anawasiwasi. ,na wewe mara ya mwisho umepima lin
 
Back
Top Bottom