beautifulonyinye
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 728
- 481
- Thread starter
-
- #61
Asante kwa ushauri, but anasema huwa anaona hofu akienda kupima akakuta anao hofu yake kwamba atanipoteza hio ndo hofu yake , na hapa alitaka tuanze taratibu za ndoa ndo nikamkomalia bila kupima nothing will push through, I don't understand himKama hataki kupima wa kazi gani sasa.
Pia nionavyo huna msimamo ikiwa kupima hataki hakuna haja hata ya kumpa nafasi ya kutumia hiyo kinga kwani hiyo ndio sababu inayomfanya akatae.
Hebu jikaze mnyime halafu uone akizidi kukataa huna budi kufanya maamuzi magumu kwa ajili ya afya yako.
Sio kila siku ni kila tukisexWe mdanganye tu wakati anakwambia wanatumia kinga kila siku
Nje ya madaNa wewe utakuja hapa siku moja na kulalamika kuwa wanakuchezzea na hawakuoi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu mie I don't mind I can handle the situation as long as Niko safeKuna dalili zinaonekana kwa macho Arabian queen na luckyline wamezitaja...naona kuna watu humu mmeanza kumchukulia mleta uzi kama mwathirika,its not fair.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ndo mnavojidanganya et kila mtu mkali basi mwathirika acha maisha ya kukalili , and ofcoz mm mkali by nature coz sipendagi dharauAfu shoga mkali kweli sijui ndo tayari hahaha! Mwambie asipanic
Yaani kiukweli sipendi kutumia mpira ndo maana namshawishi akapime ili tukiaminiana tuachane na mipira alaf namwambia sometimes nenda mwenyewe sio lazima uende na mm , na ye huwa anasema et anaogopa kunipoteza kama ikitokea anao
Acha kukalili maisha haya utatoka kapa , na namshukuru mungu kwamba mm napimaga Mara kwa Mara so I don't care what u think ila nachojua watu tunatofautiana uelewa kwahiyo wewe ndo ulivoelewa, na hata ningekuwa ninao naanzaje kukataa wakati nobody knows me in here, anyway tchaooMbona mkali kama mgonjwa wa????? tulia acha panic everything gonna be alright!
Anaogopa kwenda ila mm nikienda namletea majibu anaona lkn yeye uthubutu wa kwenda unamshindaMacho hayana vipimo nenda hosp
Sijawahi kumuona dalili hata moja kati ya hizo1)kua na homa mda wote kufikia mpk kiwango 102 degrees c.
2)uchovu,mwili kuchoka mda wote.
3)kuuma kwa misuli,kupata maumivu ktk tezi mfano kwapa,maeneo ya shingon.n.k
3)kuvimba kwa koo.
4)maumiv ya kichwa mara kwa mara
5)vipele pele ktk mwili,hua vinawasha sn.
6)kuhis kichefchef,kutapika pia kuharisha.
7)kua na kikohozi kikavu
8)kuanza kupungua uzito taratibu.
9)kutokwa na jasho usiku
10)kupata siku mwezi(period)bila mpangilio.
Mkali afu umeshindwa jitihada za mwenzio kwenda kujua afya yake.. Wapi Ukali wako???[emoji23] [emoji23] [emoji23] ndo mnavojidanganya et kila mtu mkali basi mwathirika acha maisha ya kukalili , and ofcoz mm mkali by nature coz sipendagi dharau
Sijajua kama wewe ni ke au me ila asee Nina wasiwasi na uelewa wako, yaani hizo comments za wakuu hujang'amua kitu [emoji12] [emoji12] [emoji12]am sorry for uBila shaka hamjazaa.. is he your suitor or just a....kama ni mumeo beba mimba then ukienda clinic kwa mara ya kwanza utapata jibu!
hizo dalili haziguarantee kwamba mtu ni positive zinaweza kuwa dalili za malaria pia1)kua na homa mda wote kufikia mpk kiwango 102 degrees c.
2)uchovu,mwili kuchoka mda wote.
3)kuuma kwa misuli,kupata maumivu ktk tezi mfano kwapa,maeneo ya shingon.n.k
3)kuvimba kwa koo.
4)maumiv ya kichwa mara kwa mara
5)vipele pele ktk mwili,hua vinawasha sn.
6)kuhis kichefchef,kutapika pia kuharisha.
7)kua na kikohozi kikavu
8)kuanza kupungua uzito taratibu.
9)kutokwa na jasho usiku
10)kupata siku mwezi(period)bila mpangilio.
Sasa wasiwasi wako wanini!! !?! Tumia Ukali wako kwabwanako mpka akapime! It's an order!!Sijawahi kumuona dalili hata moja kati ya hizo
[emoji40] [emoji40] [emoji40]mmmmmhh [emoji16][emoji16][emoji16] HIV
Hakuna HIV carrier labda ungesema HIV infected. Huwezi kumjua kwa kuangalia kwa macho, ni kupima tu. Be carefulNilimaanisha carrier
Mleta mada naona unataka "tukupigie ramli hapa, tena ramli chonganishi"Habari wakati huu,
Mimi naombeni ushauri nitamjuaje mtu mwenye HIV carrier au ni dalili zipi zinaonyesha mtu mwenye HIV carrier.
Nasubiri ushauri
Umepanic sisteri!Sijajua kama wewe ni ke au me ila asee Nina wasiwasi na uelewa wako, yaani hizo comments za wakuu hujang'amua kitu [emoji12] [emoji12] [emoji12]am sorry for u