Naombeni Ushauri: Dalili za mtu ambaye ni HIV carrier

Naombeni Ushauri: Dalili za mtu ambaye ni HIV carrier

You cannot tell if anyone is HIV positive. The way to know if someone is HIV positive is if they tell you about their status and they have had conclusive evidence from an HIV test tofauti na hapo itakuwa ni kujidanganya tu! Tuache hizi mambo za kunyoosheana vidole kwamba someone is H.i.V carrier kabla hujapata uthibitisho wa hayo yote! Kwangu mimi sina cha kukwambia kwenye hilo period!
Thanks for the advice [emoji120] [emoji120]
 
Kwanza huyu mwenyewe seems ni janga tu, ila kaamua kufurahisha jukwaa leo.
Kama mmewe tu hawaendani had hamuheshim kufanya jambo la maana kama hilo la kupima ina maana huyo jmaa anamchukulia kama kiazi tu no need to consider her concerns! Tulizana upate mme wa haki yako hawa wengine mnajilazimishiaga tu kiubishi bishi.
Mkuu mbona umepanic sana kwani vepee! Hahaaa aisee wengine mnafurahishaga au na we ndo walewale wanaogopa kupima
 
Mkuu mbona umepanic sana kwani vepee! Hahaaa aisee wengine mnafurahishaga au na we ndo walewale wanaogopa kupima
Naongeaga ukweli, na ukwek huwa una hit mtimani, hakuna mwanadam anaependa kuambiwa ukwel hapa duniani ni wachache sana. Ngoja wakupambe ilihali unachukuliwa na mwenzio kama mtumba bin mdudu Ruba.
Jion njema
 
Hahahhh
Sasa mkuu kama una uwezo wa kumuacha why uishi roho mkononi??

Muache sasa hivi maana hataki kupima na wewe unataka

Tafuta atakayekubali anapima Mara kwa Mara kama wewe
Mkuu nitajitahid though sio easy ila hakuna namna , Thanks kwa ushauri
 
Ni hivi mtu mwenyewe hataki kupima, na kuna dalili ambazo hazijifichi hizo kila MTU anazijua lkn kuna mwingine ni carrier ndo nataka nijue nitamjuaje huenda ni Carrier japo tunatumia kinga lkn kinga hizi haziaminiki
Kwani lazima uwe nae huyo?kama hataki kupima maana yake anajua nyendo zake na zinamtia shaka.Sasa wewe unakomaa na ngoma unaogopa na kondomu umechoka?ajabu hii..
 
Japo umetumia lugha kali lakin inaakisi kabisa mazingira haya.

Sipati picha huyu dada anafikiriaje na kama kweli anajua ukubwa wa hatari anayoilealea kama yai.

Watu wengine hawaelewi mpaka iwatokee, siku ikimtokea atajua.

Na umeyaona majibu yake?

Anatulazimisha kumshauri vile anavotaka yeye.

Mtu kashaambiwa sipimi ng'o, kama kupima kapime wewe; eti akiuliza sababu anajibiwa kwamba naogopa kukupoteza nikikutwa nao, kwa hiyo jamaa ana target kumwambukiza na yeye ili wakikutwa nao wote asimpoteze.
 
Back
Top Bottom