Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu najua hauko serious na Uzi wako..umeamua Ku joke aroundNikweli mkuu, hata ujinga si kilema zaidi ya upumbavu...😇
Ebu toa ushauri sasa
Mkuu, wanatakiwa wapunguze muda wa kujifungia na hata kuoga bafu moja kwa wakati mmoja misipendi...☹️
Nimeshituka kuona umekuja na akili za ki FB FBDuhhhh....
Sijawahi hata kua na account huko efubii
Ubaya haipo ila shemeji anaona unamuharibia raha zake kwa dada!ndo maana haishi vituko ili utimke!Mkuu, kwani kuna ubayagani mimi nikiishi kwa shemeji..??
Na kama ni kazi, kwani mimi ni mfanyakazi wao..??
Ushimen kwenye ubora wkooo ....Duhhhh....
Sijawahi hata kua na account huko efubii