Naombeni ushauri, huyu shemeji ananikwaza

Ni tatizo anaona unamkosesha raha na mke wako,pia unagonga sana msosi!na kazi unafanya kwa kinyongo!
Mkuu, kwani kuna ubayagani mimi nikiishi kwa shemeji..??
Na kama ni kazi, kwani mimi ni mfanyakazi wao..??
 
Mkuu najua hauko serious na Uzi wako..umeamua Ku joke around
Wataalam wanashauri kutokunywa pombe kupita kiasi kwa afya yako...๐Ÿ˜œ
๐Ÿคธ๐Ÿคธ๐Ÿคธ๐Ÿคธ๐Ÿคธ๐Ÿคธ
 
Huyu jamaa wachache ndo tumemuelewa, anyway you made me laugh out loud [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huyu jamaa wachache ndo tumemuelewa, anyway you made me laugh out loud [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tatizo vijana hawapendi kutumia fasihi wakidhani kwamba kunguru ananenepa kwa kula jalala moja...๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hatari sanaaa!! Unaishi kwa dada halafu hutaki shemeji na dada wajifungie chumbani๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ

Wewe ni nani๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hatari sanaaa!! Unaishi kwa dada halafu hutaki shemeji na dada wajifungie chumbani๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ

Wewe ni nani๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Mkuu, wanatakiwa wapunguze muda wa kujifungia na hata kuoga bafu moja kwa wakati mmoja misipendi...โ˜น๏ธ
 
Mkuu, kwani kuna ubayagani mimi nikiishi kwa shemeji..??
Na kama ni kazi, kwani mimi ni mfanyakazi wao..??
Ubaya haipo ila shemeji anaona unamuharibia raha zake kwa dada!ndo maana haishi vituko ili utimke!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ