financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Utazoea tu taratibu na mwishowe utakaa sawa. Jikeep busy na kazi zako, usikae idle muda mwingi maana ndiyo muda mawazo yanakujia kuhusu ex. But kukosana kupo je kuna jitahada zozote mmechukua kuhakikisha penzi lenu linarudi? Ama imeshindikana kabisa?