Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata ukiwa double unalala nayo.
Umeanza ule uchochezi wako we mtoto[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mchepuko kamaliza ugwadu woteeee au kishatoa order usimpe jamaa hadi yeye mchep agegede kwanza weekend. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa huu ukali na style ya kuongea aliyekuacha leo yupo kanisani kumshukuru Mungu kumnasua kwenye majanga
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeanza ule uchochezi wako we mtoto[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hukuona mchepuko mmoja humu akijisifia kwamba ana nguvu kwa muke ya mutu kuliko mwenye mali? Mke anamuomba mchep mume anasumbua sana anataka K na mchep anamwambia usimpe mwambie unaumwa hadi baada ya kunipa mimi weekend ndiyo umpe, na muke anasema sawa [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa kama mcheps yuko njema zaidi? Sio kosa lake.
Mvumiliage tu, akitoka kwa mcheps anakuja na furaha telee, hakupi stress.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umeona eh!
Tayari umeshacoment. Unataka usaidiwe nini tena?nisaidieni cha kucomment