financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Ukigundua mwenza wako mapenzi yameshuka,, ni bora kuangalia ustaarabu mwingine.Utazoea tu taratibu na mwishowe utakaa sawa. Jikeep busy na kazi zako, usikae idle muda mwingi maana ndiyo muda mawazo yanakujia kuhusu ex. But kukosana kupo je kuna jitahada zozote mmechukua kuhakikisha penzi lenu linarudi? Ama imeshindikana kabisa?
Nakubaliana na wewe kabisa, ila atleast ujue yameshuka sababu gani, huenda kuna tatizo mwenzako analipitia kama ukimdadisi unaweza kujua mkasolve na mkaendelea , ndiyo maana ya jitihada nilizomaanisha mkuuUkigundua mwenza wako mapenzi yameshuka,, ni bora kuangalia ustaarabu mwingine.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Nakubaliana na wewe kabisa, ila atleast ujue yameshuka sababu gani, huenda kuna tatizo mwenzako analipitia kama ukimdadisi unaweza kujua mkasolve na mkaendelea , ndiyo maana ya jitihada nilizomaanisha mkuu
Hazijazaa matunda , ila i tried to my best.Vipi jitihada zako zimezaa matunda?
Hazijazaa matunda , ila i tried to my best.
Mimi ni mdada na kazi yangu na maisha yangu, nimekuja kuomba ushauri jinsi ya kuweza kuishi single maana mchumba niliyekuwa naye ameniumiza.
Nataka nianze kuwa single, niishi vipi mpaka nimsahau kabisa na maisha yaendelee?
Kwa huu ukali na style ya kuongea aliyekuacha leo yupo kanisani kumshukuru Mungu kumnasua kwenye majangaUmeulizwa mbona una mambo ya kike mwanaume aliekamilika hawezi fanya mambo kama haya jitathimini vizuri itakuwa jinsia uliyokuwa nayo si yako
Ila best!!Aliyekubuhu kuwa single mujini anaitwa BIKRA kama hakuna chochote kinachoendelea kule kwenye utamu. 😜
Mama wa muongozo.Bila shaka ushapata mwongozo!
Hata ukiwa double unalala nayo.Ukiwa single unalala na chupi usiku. Usisahau hilo muhimu sana. [emoji12]
Hahahaha![emoji16] Miongozo ina mwenyewe!Mama wa muongozo.
Cc smart [emoji119][emoji119]Hahahaha![emoji16] Miongozo ina mwenyewe!
[emoji2960][emoji2960][emoji15]Cc smart [emoji119][emoji119]
Njoo pm na passport mbili na kitambulisho chako cha NIDAMimi ni mdada na kazi yangu na maisha yangu, nimekuja kuomba ushauri jinsi ya kuweza kuishi single maana mchumba niliyekuwa naye ameniumiza.
Nataka nianze kuwa single, niishi vipi mpaka nimsahau kabisa na maisha yaendelee?
[emoji2960][emoji2960][emoji15]Cc smart [emoji119][emoji119]