Mechanic 97
JF-Expert Member
- Feb 6, 2021
- 854
- 1,296
Wakuu kutokana na msukumo kutoka moyoni. Wakutoa elimu ya sanyansi na teknolojia kupitia katuni nimejikuta nimeingia katika biashara hii rasmi. Ila Sasa nimeshindwa kuelewa je ninacho kitoa kwa jamii je inakielewa au inakihitaji maana nimejaribu Kwa mda mfupi nilipata wasomaji tu. Ili nibidi ni rudi nyuma nitafute maoni kutoka Kwa watu wangu wakaribu nao wamechangia mawazo Yao. Ila nimeona haitoshi nimeamua kuleta pia kwenu jamiiforum kwenye mchanganyiko wa watu tofauti tofauti. Je unamaoni gani? Kuhusu biashara hii.
Na biashara hii nimepanga kuifikisha Tanzania nzima kupitia mawakala kama 50-100. Hivyo kama umevutiwa tunaweza tukawasiliana
Na mfano wa kazi ni picha za hapo chini.View attachment 3119607View attachment 3119608View attachment 3119609View attachment 3119610