Naombeni ushauri juu ya biashara yangu ya uchoraji katuni niliyoianza

Mkuu so unauza hivi vitabu au unafanyaje mkuu? What if unatengeneza kwa njia ya video kwa doodles?
Na je umelenga watoto au? Maana kwa watu wazima sidhani kama wana resonate na hiki
Asante mkuu unaweza ukaniambia kidogo kuhusu doodle
 
Mkuu, Hili ni janga kubwa sana kwa Upande Wa Africa, maono ya mbali tumeshindwa kabisa..

. Yani mtu anatoka nyumbani akiwa smart, lakini anenda kazini kulusha umbea ndani ya TV 😕😕.
Ni tatizo kubwa sana.. kuna ujinga mwingi wanalishwa hawa wa kina mama/watoto wanaosikiliza hivi vipindi siku nzima. Mbaya zaidi hata hao watangazaji hawajasomea utangazaji, yaani ni ujinga tu kwa kwenda mbele. Inatakiwa Wizara ya Habari kuhakikisha mtangazi anakuwa amesomea utangazaji. Sio mtu tu anatoka huko eti ana sauti kali/kubwa nzuri, basi tayari unampa mic aitangazie dunia.
 
Kuna mtu mashuhuri hapa nchini anaitwa Gagula... Wengine wamemuita Bi kidude... Unaweza nchorea picha yake akiwa anasisitiza jambo?
 
Wakuu kutokana na msukumo kutoka moyoni. Wakutoa elimu ya sanyansi na teknolojia kupitia katuni nimejikuta nimeingia katika biashara hii rasmi. Ila Sasa nimeshindwa kuelewa je ninacho kitoa kwa jamii je inakielewa au inakihitaji maana nimejaribu Kwa mda mfupi nilipata wasomaji tu. Ili nibidi ni rudi nyuma nitafute maoni kutoka Kwa watu wangu wakaribu nao wamechangia mawazo Yao. Ila nimeona haitoshi nimeamua kuleta pia kwenu jamiiforum kwenye mchanganyiko wa watu tofauti tofauti. Je unamaoni gani? Kuhusu biashara hii.

Na biashara hii nimepanga kuifikisha Tanzania nzima kupitia mawakala kama 50-100.
Hongera kwa kuingia rasmi kwenye biashara ya kutoa elimu kupitia katuni! Huu ni uwanja mzuri sana kwani katuni zinaweza kuvutia na kueleweka vizuri hasa kwa watoto na vijana. Ili kufanikisha zaidi na kuhakikisha unachokitoa kinapokelewa vizuri na jamii:

  1. Fanya utafiti wa soko - Angalia jinsi jamii inavyochukulia elimu ya sayansi na teknolojia kupitia katuni. Tafuta mrejesho zaidi kutoka kwa walimu, wanafunzi, na wazazi.
  2. Boresha maudhui - Hakikisha katuni zako zinawavutia wasomaji na zinafundisha mambo ya msingi kwa njia rahisi na ya kufurahisha.
  3. Mawakala - Mawakala 50-100 ni idadi nzuri, lakini hakikisha wanaelewa bidhaa yako vizuri na wanaweza kuifikisha ipasavyo kwa walengwa.
  4. Mtandao wa usambazaji - Hakikisha una mfumo thabiti wa kusambaza katuni hizo na kuzifanya zipatikane kwa urahisi katika sehemu zote za nchi.
Je, unawaza pia kuingia kwenye mitandao ya kijamii au majukwaa ya kidigitali ili kuongeza wasomaji na kuongeza wigo wa elimu hii?
 
Ni tatizo kubwa sana.. kuna ujinga mwingi wanalishwa hawa wa kina mama/watoto wanaosikiliza hivi vipindi siku nzima. Mbaya zaidi hata hao watangazaji hawajasomea utangazaji, yaani ni ujinga tu kwa kwenda mbele. Inatakiwa Wizara ya Habari kuhakikisha mtangazi anakuwa amesomea utangazaji. Sio mtu tu anatoka huko eti ana sauti kali/kubwa nzuri, basi tayari unampa mic aitangazie dunia.
🤔🤔🤔.. Hasa hapo kwenye elimu ndo shida ilipo, nimeona pale clause FM, kuna kijana alikuwa Facebook huko, now Naona amesogezwa pale clause mjengoni.. Mtu wa aina ile hawezi kuongea jambo la maana kwenye jamii zaidi zaidi ya utumbo tu....

Vipindi vingi vya redio na tv
1. Mpenzi
2. Kusifia ccm
3. Kamali( shika mihela, tatu mzuka, biko)
 
Hongera kwa kuingia rasmi kwenye biashara ya kutoa elimu kupitia katuni! Huu ni uwanja mzuri sana kwani katuni zinaweza kuvutia na kueleweka vizuri hasa kwa watoto na vijana. Ili kufanikisha zaidi na kuhakikisha unachokitoa kinapokelewa vizuri na jamii:

  1. Fanya utafiti wa soko - Angalia jinsi jamii inavyochukulia elimu ya sayansi na teknolojia kupitia katuni. Tafuta mrejesho zaidi kutoka kwa walimu, wanafunzi, na wazazi.
  2. Boresha maudhui - Hakikisha katuni zako zinawavutia wasomaji na zinafundisha mambo ya msingi kwa njia rahisi na ya kufurahisha.
  3. Mawakala - Mawakala 50-100 ni idadi nzuri, lakini hakikisha wanaelewa bidhaa yako vizuri na wanaweza kuifikisha ipasavyo kwa walengwa.
  4. Mtandao wa usambazaji - Hakikisha una mfumo thabiti wa kusambaza katuni hizo na kuzifanya zipatikane kwa urahisi katika sehemu zote za nchi.
Je, unawaza pia kuingia kwenye mitandao ya kijamii au majukwaa ya kidigitali ili kuongeza wasomaji na kuongeza wigo wa elimu hii?
Asante ndio mkuu ndio naweza kupromote kupitia mitandao ya kijamii
 
Wakuu kutokana na msukumo kutoka moyoni. Wakutoa elimu ya sanyansi na teknolojia kupitia katuni nimejikuta nimeingia katika biashara hii rasmi. Ila Sasa nimeshindwa kuelewa je ninacho kitoa kwa jamii je inakielewa au inakihitaji maana nimejaribu Kwa mda mfupi nilipata wasomaji tu. Ili nibidi ni rudi nyuma nitafute maoni kutoka Kwa watu wangu wakaribu nao wamechangia mawazo Yao. Ila nimeona haitoshi nimeamua kuleta pia kwenu jamiiforum kwenye mchanganyiko wa watu tofauti tofauti. Je unamaoni gani? Kuhusu biashara hii.

Na biashara hii nimepanga kuifikisha Tanzania nzima kupitia mawakala kama 50-100. Hivyo kama umevutiwa tunaweza tukawasiliana

Na mfano wa kazi ni picha za hapo chini.View attachment 3119607View attachment 3119608View attachment 3119609View attachment 3119610View attachment 3119611
Be multidisciplinary , u never know which way you will win
 
Back
Top Bottom