Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Hili jamaa alitingatie sana, age lazima ajue kabisa. Nje ya hapo atamtafuta mchawi. Mara 100 atumie katuni za aina ile ya 3d kama watu halisi. Na kazi kama hizi mbona dokta Tamba na wale wa Sani walitoa jarida za katuni sana tu. Mtoa mada amejifunza nn kwao?Mkuu so unauza hivi vitabu au unafanyaje mkuu? What if unatengeneza kwa njia ya video kwa doodles?
Na je umelenga watoto au? Maana kwa watu wazima sidhani kama wana resonate na hiki
Katuni yeyote ile Àmbayo haijabase kwenye matusi, sijaona tatizo lolote..Age lazima aizingatie mzee la sivyo hawez kujiases na kujua anakosea wapi. Kila uhitaji una wemyewe si kila mtu muhitaji. Ubongo kids mfano mzuri.. wewe unamjua nani katika katuni za ubongo kids ukiacha "Akili"?
Shukrani mkuu niliskia kuhusu Facebook ila sikufuatilia ngoja niangalie term zao. Siyo kweli mkuu, usambazaji ni rahisi sana.. Sasa hivi Facebook ameanza kulipa hela ndefu sana kwa sasa.
. Katuni nyingi sana zipo Facebook huko, si wakubwa si wadogo wanaangalia katuni..
Target hizi platform tatu.
. YouTube
Sina uhakika sana na TikTok maana sijawahi kuitumia
Katuni zinazovuma sasa zimebeba kukosoa au kujenga jamii kisiasa. Zina maudhui ficho kwenye malengo ya kisiasa. Katuni za kina madenge zilibeba maudhui ya kuburudisha.. sani ilivyokufa na kupita kwa wakti watu wameachana na hiyo industry mana kumekuweko na kona nyingi zilizokuwa kwa kasi sana hasa virtual social mediaKatuni yeyote ile Àmbayo haijabase kwenye matusi, sijaona tatizo lolote..
1. Tengeneza katuni àmbayo mimi na mwanangu tunaweza kuiangalia.
2. Tukiachana na ubongo kids, naye amekuja kwa lengo lake binafsi la kuleta katuni
( maana yake ana business plan)
3. Katuni mjongeo huwa zinajitangaza zenyewe, na uzuri ni kwamba platform za sasa zimeweka kipengele cha kuhifadhi copyright ya kazi yako.
. Katuni za kuchora kwenye magazeti.. Zimepitwa na wakati mkuu. Labda kama anachora kwa kujifurahisha mwenyewe. ( katuni za kuchora unafaidika vipi??,)
. Akina masoud kipanya na yule wa kipindi cha ITV (Mtu kwao) bado wapo kwenye game ya katuni kwa sababu ni journalist tayari.
. Katuni za kuchora zilivuma kila pembe ya TZ kipindi cha akina madenge....
Mkuu unataka kutoboa accidentally au kimkakati?Shukrani mkuu niliskia kuhusu Facebook ila sikufuatilia ngoja niangalie term zao
Mkuu ingekuwa accidentally nisingekuwepo hapa kabisa yaaniMkuu unataka kutoboa accidentally au kimkakati?
Hii ni business mkuu, jamaa anataka kutimiza lengo la kupata faida (profit) hata kama anasolve tatizo lililopo katika jamii. Katuni mjongeo kwa sasa zina market lakini ukiacha zlizotaget watoto kuelimisha kama fataki, ubongo kids kuna hizi za kuburudisha tu. Hizi ndo hizi za mpemba og na kuna kipindi bwakila alitoa hiziKatuni yeyote ile Àmbayo haijabase kwenye matusi, sijaona tatizo lolote..
1. Tengeneza katuni àmbayo mimi na mwanangu tunaweza kuiangalia.
2. Tukiachana na ubongo kids, naye amekuja kwa lengo lake binafsi la kuleta katuni
( maana yake ana business plan)
3. Katuni mjongeo huwa zinajitangaza zenyewe, na uzuri ni kwamba platform za sasa zimeweka kipengele cha kuhifadhi copyright ya kazi yako.
. Katuni za kuchora kwenye magazeti.. Zimepitwa na wakati mkuu. Labda kama anachora kwa kujifurahisha mwenyewe. ( katuni za kuchora unafaidika vipi??,)
. Akina masoud kipanya na yule wa kipindi cha ITV (Mtu kwao) bado wapo kwenye game ya katuni kwa sababu ni journalist tayari.
. Katuni za kuchora zilivuma kila pembe ya TZ kipindi cha akina madenge....
Sasahiv unasambaza jarida sio?Mkuu ingekuwa accidentally nisingekuwepo hapa kabisa yaani
Kuzambaza= kusambazaWakuu kutokana na msukumo kutoka moyoni. Wakutoa elimu ya sanyansi na teknolojia kupitia katuni nimejikuta nimeingia katika biashara hii rasmi. Ila Sasa nimeshindwa kuelewa je ninacho kitoa kwa jamii je inakielewa au inakihitaji maana nimejaribu Kwa mda mfupi nilipata wasomaji tu. Ili nibidi ni rudi nyuma nitafute maoni kutoka Kwa watu wangu wakaribu nao wamechangia mawazo Yao. Ila nimeona haitoshi nimeamua kuleta pia kwenu jamiiforum kwenye mchanganyiko wa watu tofauti tofauti. Je unamaoni gani? Kuhusu biashara hii.
Na biashara hii nimepanga kuifikisha Tanzania nzima kupitia mawakala kama 50-100. Hivyo kama umevutiwa tunaweza tukawasiliana
Na mfano wa kazi ni picha za hapo chini.View attachment 3119607View attachment 3119608View attachment 3119609View attachment 3119610View attachment 3119611
Facebook ukiwa na followers kuazia 1000, na account ikawa active unaanza kupiga hela,Shukrani mkuu niliskia kuhusu Facebook ila sikufuatilia ngoja niangalie term zao
😊😊😊, point yako nimeipata vizuri mkuu..Katuni zinazovuma sasa zimebeba kukosoa au kujenga jamii kisiasa. Zina maudhui ficho kwenye malengo ya kisiasa. Katuni za kina madenge zilibeba maudhui ya kuburudisha.. sani ilivyokufa na kupita kwa wakti watu wameachana na hiyo industry mana kumekuweko na kona nyingi zilizokuwa kwa kasi sana hasa virtual social media
Jamaa anataka kuelimisha, au kutoa ujuzi kuhusu teknolojia. Intention kubwa ya watu huko Instagram, na media byingine ni kubirudika zaidi. Ndo mana wajinga wajinga wnaonekana kutoboa sana kuliko waelimishaji. Leo hii akaunti ya BOT Instagram ina followers wacahache na engagement ndogo kuliko Mc mboneke. So tumsaidie jamaa ku"redefine" audience kwanza ya aina hii ya Sanaa kabla hajachagua outreach plan
Wazo zuri sana...Kazi zuri, but kama Unaweza tengeneza katuni mjongeo.. Utapiga hela mkuu, bila kusahau subtitle kwenye mazungumzo..
Kwenye vituo vya TV kama utatengeneza kitu tofauti chenye maudhui endelevu nadhani unaweza ukauza pia... ni biashara nzuri na inaonekana unaipenda so nikutakie mafanikio mema mkuu... zingatia sana story zenye muendelezo.Shida ya katuni mjongeo ni usambazaji ila nimeona fursa YouTube pekee sijajua kwenye vituo vya Tv
Shukrani mkuuWazo zuri sana...
Namshauri Mechanic 97 kwa kuanzia kuna hivi vipindi vya TV zetu asubuhi mpaka saa sita, anaweza link up na taasisi ya elimu, akaandaa vipindi hivi kwa watoto wa nursery, primary na secondary. Taratibu mpaka ifike wakati shule zete zina tune in watoto kujifunza kwa kuona hizi clips. itakuwa na manufaa sana, kwa radio na TV, kuliko kusikiliza umbea, na masham sham siku nzima.
Shukrani mkuuKwenye vituo vya TV kama utatengeneza kitu tofauti chenye maudhui endelevu nadhani unaweza ukauza pia... ni biashara nzuri na inaonekana unaipenda so nikutakie mafanikio mema mkuu... zingatia sana story zenye muendelezo.
Hii ni business mkuu, jamaa anataka kutimiza lengo la kupata faida (profit) hata kama anasolve tatizo lililopo katika jamii. Katuni mjongeo kwa sasa zina market lakini ukiacha zlizotaget watoto kuelimisha kama fataki, ubongo kids kuna hizi za kuburudisha tu. Hizi ndo hizi za mpemba og na kuna kipindi bwakila alitoa hizi
Jamaa anataka aweke kazi yenye mtiririko kama ile vitabu ya marvel. Anataka kuurudisha kwa kina Dr. Tamba.. kutoa elimu kwa katuni labda watoto ndo uwatarget na hawa hawana uwezo wa kumiliki simu. So kuna namna hii plan inaweza kuwa threat sabab wanaokilim sim n watu wazima ambao wanawez kuangalia for fun tu. Mm naomba tujadili hapa apate kitu cha kumsaidia kwenye setup the way forwad
Asante
Mkuu, Hili ni janga kubwa sana kwa Upande Wa Africa, maono ya mbali tumeshindwa kabisa..Wazo zuri sana...
Namshauri Mechanic 97 kwa kuanzia kuna hivi vipindi vya TV zetu asubuhi mpaka saa sita, anaweza link up na taasisi ya elimu, akaandaa vipindi hivi kwa watoto wa nursery, primary na secondary. Taratibu mpaka ifike wakati shule zetu zina tune in watoto kujifunza kwa kuona hizi clips. Itakuwa na manufaa sana, kwa radio na TV, kuliko kusikiliza umbea, na masham sham siku nzima.
Asante sana mkuuAnyway tufanye hivi mkuu,
. Target Audience
Watoto mashuleni, Kama ulivyosema, mlengwa ni watoto kwa ajili ya kutoa elimu kama vile Dr. Tamba au Ubongo Kids. Changamoto ni kuwa watoto wengi hawana uwezo wa kumiliki simu. Njia nzuri inaweza kuwa kupitia TV, au kushirikiana na shule ili vipindi vipelekwe madarasani.
Kwa Watu Wazima kama Burudani, Watu wenye simu watafuatilia maudhui kama burudani. Kuchanganya ucheshi na utamaduni, kama vile "Mpemba OG" au "Bwakila" na wengineo.
. Majukwaa na Upatikanaji wa
Vipindi vya TV, kama ulivyosema watoto wengi hawana simu, atengeneze mfululizo wa katuni zitakazoonyeshwa kwenye vituo vya TV, au majukwaa ya kidijitali yanayolenga familia.
Programu za Simu/application , app ya simu kwa ajili ya watu wazima wanaofurahia katuni kama burudani. Unaweza kujumuisha maudhui yenye elimu kidogo au vichekesho kwa watu wazima kupitia majukwaa ya mitandao ya kijamii (TikTok, Facebook na YouTube). Bila kusahau parental control.
Kuandaa Vitabu + ubia na shule husika, kuunda vitabu vya katuni au programu za kielimu zitakazotumika shuleni, hasa katika maeneo yenye upatikanaji mdogo wa simu.
. Muendeleo wa Hadithi
Maudhui ya Mfululizo (Serialized Content), Kama ulivyotoa Mfano wa Marvel, inabidi kujenga hadithi za muda mrefu zenye matukio fulani yanayovutia watazamaji. Wahusika kama ( Dr. Tamba ), itakusaidia kuendeleza au kuleta mambo mbalimbali kama afya, Lishe, historia, au utamaduni kadri mfululizo unavyoendelea.
Hapa ni kuchanganya hadithi za kitamaduni, lugha za asili, au marejeleo ya kitamaduni ili kuwavutia watazamaji wengi zaidi.
. Mfumo wa Mapato (Revenue Model)
Uuzaji wa Bidhaa, vitabu, au bidhaa za chapa zinazovutia watoto.( inahitaji uvumilivu kidogo mpaka uje kuaza kupata faida kwenye hii biashara)
Tafuta wadhamini, kushirikisha taasisi za elimu au mashirika yasiyo ya kiserikali ili kusaidia kudhamini katuni zinazofundisha masomo muhimu.
Mapato ya YouTube, Kwa katuni zinazowalenga watu wazima, unaweza kutumia YouTube, Facebook, Instagram na TikTok kupata faida kupitia matangazo au maudhui yanayodhaminiwa.
. Kukabiliana na Vitisho (Threat Mitigation)
Kuhusu matumizi ya Simu kwa Watoto, kukabiliana na changamoto ya watoto kukosa simu, jikite zaidi kwenye TV, mfululizo wa kwenye wavuti, au kwenye maeneo ya jamii kama shule, maktaba, au hata vituo vya jamii vyenye vifaa vya kuonyesha filamu.
PROJECT HII NI KUBWA SANA, mambo ya kuzingatia:-
. Mtaji ( ingawa Unaweza kuaza kidogo kidogo)
. Udini ( achana na masuala ya Udini, wengi sana huwa wanafeli sana kwenye hichi kipengele)
. Mawazo ya story ( story iwe ndefu isiyo pungukiwa utamu,)
. Vibali + usajili ( hili ni jambo la Kawaida)
. Bila kusahau majina mazuri yenye kuvutia kwenye hizo katuni ( hii Itasaidia watoto kukumbuka character wa hizo katuni), ikiwezekana zaidi usitumie kabisa majina ya kidini)