Naombeni ushauri juu ya huyu binti simuelewi elewi

Naombeni ushauri juu ya huyu binti simuelewi elewi

fundi bishoo

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2018
Posts
14,264
Reaction score
27,132
Habari zenu wakubwa shkamoni

Ni kitambo sana kijana wenu sjaonekana kuanzsha thread ila kwa haya nlokutana nayo imenibd nianzishe uzi iko hivi[emoji116][emoji116][emoji116]
mmepitia mengi nyny ndo wataalamu wenyewe naona kama picha hvi yaani daaaah msaada

#yesbishoohaswaaaa
 
Baada ya siku kadhaa akapata siku zake...

Wiki mbili baadaye (baada ya MP), kakutwa na ujauzito...

Nineishia hapo tu, baada ya kuona kuna mtu anaelekea kuuziwa mbuzi kwenye gunia...
Mkuu hapa napigwa mimba sio yangu.......?
 
Habari zenu wakubwa shkamoni
Ni kitambo sana kijana wenu sjaonekana kuanzsha thread ila kwa haya nlokutana nayo imenibd nianzishe uzi iko hivi[emoji116][emoji116][emoji116]

Kifupi ni kwamba huyo demu hana mimba wala nini hiyo ilikua ni geresha tu. Na kama kwa umri wake wa 20 tayari alishatoa mimba, mkuu kua makini. Narudia, kua makini.
 
Habari zenu wakubwa shkamoni
Ni kitambo sana kijana wenu sjaonekana kuanzsha thread ila kwa haya nlokutana nayo imenibd nianzishe uzi iko hivi[emoji116][emoji116][emoji116]

Kuna binti mmoja nilifanya nae mapenzi kweny harakat za hapa na pale mm nkamwagia ndan na yy alinambia nsimwagie ndani sasa baada ya kukaa
Mechi za ugenini hutumi zana na unajiona mjanja
 
Back
Top Bottom