Naombeni ushauri juu ya huyu binti simuelewi elewi

Naombeni ushauri juu ya huyu binti simuelewi elewi

Laki 2 tu
Inawezekana mimba ikawa yako kwa sababu uwezekano wa kuingia kwenye siku kwa mwanamke akiwa mjamzito upo, na mara nyingi hii utokea kipindi cha kwanza miezi 3 (first trimester)
So jipange kulea mtoto
Hongera Baba kijacho.
Ulituma na tozo?
Hongera ba kijacho...
Rafiki yake ameniambia kua mimba kaenda kutoa leo baada ya mm kukataa na mi nmeona hana msimamo na nliona nimkatae nkamwambia kua mm sihusiki kwa lolote na hyo mimba akanambia atalea mwenyew ila leo jion rafk yake kanicheki ila nahs n yy mwenyew tu kanifanyia mchz
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwamba ulikuwa unainyandua kavukavu, vipi hiyo raha,? Kiufupi hapo hakuna mimba ni geresha tu
Mm sina imani haikua mimba yangu atajijua mwenyew tatzo kaona hela kaleta tamaa sqsa uko mbele s tutasumbuana na uyo mtoto mungu anisamehe skupenda kuikataa mama ilkua mimba ya kweli
 
Inawezekana mimba ikawa yako kwa sababu uwezekano wa kuingia kwenye siku kwa mwanamke akiwa mjamzito upo, na mara nyingi hii utokea kipindi cha kwanza miezi 3 (first trimester)
So jipange kulea mtoto
[emoji856][emoji856] mungu anisamehe pale nlkua nauziwa mbuzi kwenye gunia
 
Mm sina imani haikua mimba yangu atajijua mwenyew tatzo kaona hela kaleta tamaa sqsa uko mbele s tutasumbuana na uyo mtoto mungu anisamehe skupenda kuikataa mama ilkua mimba ya kweli
Kwani hela yenyewe umemtumia kiasi gani aseeee? Utakuta elf 30
 
Rafiki yake ameniambia kua mimba kaenda kutoa leo baada ya mm kukataa na mi nmeona hana msimamo na nliona nimkatae nkamwambia kua mm sihusiki kwa lolote na hyo mimba akanambia atalea mwenyew ila leo jion rafk yake kanicheki ila nahs n yy mwenyew tu kanifanyia mchz
Hivi mnao anzisha thd kama hizi hua mna uhakika gani kua hao mnaowasema wao sio member wa humu JF?

Huenda huyo Mwanamke anakusoma tu humu ndio maana kafanya mpango wa kumtuma huyo rafiki yake kwako.
 
Kubal tu kuwa umeingizwa chakikeeee eewaaaaaah!! wamekuja na gia mpya ya kuchuna pesa baada ya ile ya mwanzo walyokuwa wakiitumia ya kusingizia mama mgonjwa!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utakubali tu show, mmezoea kucheza peku arafu mimba mnaogopa,,mtaelewa tu...poleeee mzeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi mnao anzisha thd kama hizi hua mna uhakika gani kua hao mnaowasema wao sio member wa humu JF?

Huenda huyo Mwanamke anakusoma tu humu ndio maana kafanya mpango wa kumtuma huyo rafiki yake kwako.
Yule hayupo kbsa humu najua akili yake ni finyuuuu
 
Habari zenu wakubwa shkamoni

Ni kitambo sana kijana wenu sjaonekana kuanzsha thread ila kwa haya nlokutana nayo imenibd nianzishe uzi iko hivi[emoji116][emoji116][emoji116]

Kuna binti mmoja nilifanya nae mapenzi kweny harakat za hapa na pale mm nkamwagia ndan na yy alinambia nsimwagie ndani sasa baada ya kukaa siku kadhaa akanambia kua ameona sku zake nkasema alhamdulillah.

ua ni hela s angenambia kulko kuzunguka.

Akanambia nisingempa kwa wkt kama nlvompa kweny kutoa mimba m nkamwambia kuna siku nimewah kukuambia kuwa siko tayar kulea hyo mimba mpka utumie njia ya kusema ukatoe mimba anajin'gata tuu haeleweki apa nawaza nimuambie hyo mimba mm sina habari nayo atajua mwenyewe au vipi sielewi nipeni ushauri wenu wakulungwa najua mmepitia mengi nyny ndo wataalamu wenyewe naona kama picha hvi yaani daaaah msaada

#yesbishoohaswaaaa
Alikua ameona siku zake nawe ukashukuru halafu ana mimba tena?
 
Back
Top Bottom