Habari zenu wakubwa shkamoni
Ni kitambo sana kijana wenu sjaonekana kuanzsha thread ila kwa haya nlokutana nayo imenibd nianzishe uzi iko hivi[emoji116][emoji116][emoji116]
Kuna binti mmoja nilifanya nae mapenzi kweny harakat za hapa na pale mm nkamwagia ndan na yy alinambia nsimwagie ndani sasa baada ya kukaa siku kadhaa akanambia kua ameona sku zake nkasema alhamdulillah.
Baada ya kama week mbli kupta akawa anajiskia vbaya kaenda hsptal kupima magonjwa yote hana ikabd akapime mimba akakutwa na mimba akanambia kua ana mimba mi skushtuka nikapoa tu siku mbl mbeleni nkamuuliza mimba ni ya nani akasema ya kwangu ila yy hataki kuzaa akaniomba ruhusa mm niridhie ili yy atoe mm nkamwambia kama mimba n yangu siwez nkaruhusu utoe hata siku moja basi akakubali ila mm nkawa najiuliza inakuaje kuaje apate mimba na alishaziona siku zake japo kua tumeshafanya mapenz mara nyngi baada ya tukio la mm kumwagia ndan ila hap nkawa spati jibu na tulkua tunagombna sana kuhusu suala kutoa mimba kugoma sabbu nlmuambia kama n yangu kweli usiitoe ntakua na knyongo na ww kwa kua utatoa mm sijaridhia ila kama sio yangu ww nenda katoe tu akagoma mpka mm nimruhusu.
Siku moja akaniomba sana mm nimpe ruhusa akatoe hyo mimba sababu kwao aliambiwa asikanyage akija na mimba mm nkamuelewa nkamwambia poa ww toa mi nmeridhia ,ajabu leo sasa nmetafuta hela nimempa ili akatoa hyo mimba akakazania twende wote pharmacy sjui hosptali mm nkagoma nkamwambia siendi huko aende mwenyew tuu sasa nimempa ile hela akanambia yy ameghairi mimba atoi atapambana hvhvo huko kwao roho yake imesita kutoa hyo mimba kwakuwa mwanzo alitoaga mimba nusu afe anahisi akitoa na hii ataweza akafa bure mm nkamwambia nirudishie hela yangu kain'gan'gania hajanipa tumezozana sana nkamwambia kama shda ingekua ni hela s angenambia kulko kuzunguka.
Akanambia nisingempa kwa wkt kama nlvompa kweny kutoa mimba m nkamwambia kuna siku nimewah kukuambia kuwa siko tayar kulea hyo mimba mpka utumie njia ya kusema ukatoe mimba anajin'gata tuu haeleweki apa nawaza nimuambie hyo mimba mm sina habari nayo atajua mwenyewe au vipi sielewi nipeni ushauri wenu wakulungwa najua mmepitia mengi nyny ndo wataalamu wenyewe naona kama picha hvi yaani daaaah msaada
#yesbishoohaswaaaa