fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,264
- 27,132
Na miaka 22 ila yy ni 20
Kwaiyo mkuu hapa nauziwq mbuzi kwenye guniaMbona inaonekana Mimba ilikua ni gear ya kupata hela na tena kwa kuzingatia aliziona siku zake hapo mwanzo.
Unachanganyikiwa nini ?
Mkuu hapa napigwa mimba sio yangu.......?Baada ya siku kadhaa akapata siku zake...
Wiki mbili baadaye (baada ya MP), kakutwa na ujauzito...
Nineishia hapo tu, baada ya kuona kuna mtu anaelekea kuuziwa mbuzi kwenye gunia...
😂😂😂😂😂 mkuu hebu acha utaniBaada ya ile siku kumwagia ndani,je siku zilizofuata ulikua unatumia kinga au ilikuaje?
Habari zenu wakubwa shkamoni
Ni kitambo sana kijana wenu sjaonekana kuanzsha thread ila kwa haya nlokutana nayo imenibd nianzishe uzi iko hivi[emoji116][emoji116][emoji116]
Mechi za ugenini hutumi zana na unajiona mjanjaHabari zenu wakubwa shkamoni
Ni kitambo sana kijana wenu sjaonekana kuanzsha thread ila kwa haya nlokutana nayo imenibd nianzishe uzi iko hivi[emoji116][emoji116][emoji116]
Kuna binti mmoja nilifanya nae mapenzi kweny harakat za hapa na pale mm nkamwagia ndan na yy alinambia nsimwagie ndani sasa baada ya kukaa
Skua natumia kinga mkuuBaada ya ile siku kumwagia ndani,je siku zilizofuata ulikua unatumia kinga au ilikuaje?
Sio bahiLi nlkua nampa anachotaka fresh tu skuwah kumfanyia ubahiliHakuna mimba hapo mkuu ..pia Acha ubahili kwenye mapenzi
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Nishauri sasa mkuuTatizo umri wenu tu..
Subirini mkue kidogo
Basi inawezekana mimba ikawa ni yako,Skua natumia kinga mkuu