Naombeni ushauri juu ya kozi ya kusoma

Naombeni ushauri juu ya kozi ya kusoma

Miaka 11 iliyopita It means 2012? Kama uliweza kupata A's ule mwaka wewe utakuwa mtambo namaanisha machine haswaa.

Nakushauri ukasome programme unayoipenda mwenyewe.

Kama moyo wako upon Computer Science & IT. Nenda kasome. Ila mimi nakushauri ukasome Applied Statistics.

Kuhusu chuo kilichopo vizuri kwenye Statistics na IT ni Mzumbe tu. Kwa level yako itabidi uanzie Certificate 1 year then Diploma 2 years. All the best.
 
Sometime you must consider the real nature sorounding you,appart from personal call(wito).
so first you must know who is you by nature and then find the sorounding nature intersect.
 
Miaka 11 iliyopita It means 2012? Kama uliweza kupata A's ule mwaka wewe utakuwa mtambo namaanisha machine haswaa.

Nakushauri ukasome programme unayoipenda mwenyewe.

Kama moyo wako upon Computer Science & IT. Nenda kasome. Ila mimi nakushauri ukasome Applied Statistics.

Kuhusu chuo kilichopo vizuri kwenye Statistics na IT ni Mzumbe tu. Kwa level yako itabidi uanzie Certificate 1 year then Diploma 2 years. All the best.
Shukran sana mkuu,ilikuwa 2011
 
Habari wakuu,mimi nilimaliza form 4 takriban miaka 11 iliyopita, nilifaulu vizuri tu,nikiwa na A zote PCB na PCM, nilichaguliwa kwenda advance shule nzuri tu lakini sikufanikiwa kuendelea na masomo kwa sababu kadhaa nikajishughulisha na biashara.

Kwa sasa naona kiasi nina utulivu nataka niendelee na masomo na nafikiria kusoma diploma ya computer science, japokuwa napata mawazo mara mbili mbili juu ya course sahiho ya kusoma inayoendana na wakati na mazingira ya nchi yetu,pia vilevile ni chuo gani bora cha kusoma.

Naombeni muongozo wakuu.
Public health itakutoa
 
Usithubutu kusoma AKWAKACHA,
Niulize mimi.
 
Piga za afya anza na clinical medicine....
 
Mbona na mwanangu kapiga hiyo level ya Degree sahv anapaa tu mwewe mara mafia sijuo pemba kiufupi mwamba kabadirika haswaah
Ndugu yangu kahitimu Degree SUA, kafaulu fresh tu, ila nd'o hivyo tunatoka familia ambayo haina connection yoyote.
Mkuu, naomba umuunganishe ndugu yangu na huyo mwanao ili ampe japo hamasa na mentorship.
 
Back
Top Bottom