Naombeni ushauri juu ya namna ya kupanga bajeti na kuiishi!!!!

Un tatizo kubwa la kufurahisha ndugu ukidhani unasaidia kumbe unabomoa.

Ndugu ulisaidia kabla hujaoa sasa umeoa huwezi kutoa support kama vile bado upo single.
Kumbuka hamna guarantee kuwa hao ndugu watakusaidia wewe wala mkeo wala wanao ukikwama , ukiugua au ukifa sana sana watawanyayasa
Kumbuka umri wa kuwezeka ni sasa miaka 25-45 la sivyo utagotea hapo

Sasa basi;
Kaa chini na mkeo awe na shuguli yoyote ya kuingiza hata elfu 3 kwa siku
Panga na mkeo jinsi ya kujibana haswa wekeni malengo yanayowatoa jasho
Jukumu lako kubwa kwa ndugu ni mama yako tu : wengine huna ulazima wa kusomesha (Kama unataka kutoboa lazima uwe na moyo mgumu) yaani unawaza kusomesha mtoto wa dada na wa kwako hawajafika hata sekondari unajua mkuu shule nzuri ya sekondari ni kuanzia milioni na nusu bila uniform ? sasa utataka wanao wahangaike na vishule vya ajabu kisa huna saving? Think twice?
 
1. Sababu zipi za kua mbali na familia yako
2.mkeo anafanya kazi gani au shuhuli gani yoyote ya kuingiza kipato maana ata kama ni mama wa nyumbani kuna ufugaji
3.wadogo zako wapo level zpi za elimu/maisha
4.mama au baba wanafanya shuhuli gani

Alafu ndo tuje kwenye ushauri japo ushauri uo utaanzia kwa kukaa pamoja wewe na mkeo au utarejea swali la kwanza ni kwanini haukai nae na ilo suala la kukaa nae litawezekana? Next ushauri ni kutafuta chanzo kingine cha mapato.
 
Ushauri wangu. Mchukue mkewako uishi nae. Tatizo ni kwamba unaishi peke yako hata mawazo yako hayawezi kupanuka.

Mshirikishe mkewako vitu vyako pia mtafutie kabiashara kakufanya.

Genge ulilofungua angekua analisimamia mkewako mngekua mbali maana gengetu linaweza kukulazia mpaka elf 50 kwa siku. Sasa piga 50 x 30 = M 1.5 kwa mwezi hapo ungekua mbali sana.

kuna faida kubwa kuishi na mkewako kaka sasa hivi wanawake wamekua chachu ya mafanikio kama ukiwapa fursa.
 
Nashukuru sana,umeniongezea kitu kipya ambacho sikuwa nacho!!
 
1. Sababu zipi za kua mbali na familia yako
2.mkeo anafanya kazi gani au shuhuli gani yoyote ya kuingiza kipato maana ata kama ni mama wa nyumbani kuna ufugaji
3.wadogo zako wapo level zpi za elimu/maisha
4.mama au baba wanafanya shuhuli gani

Alafu ndo tuje kwenye ushauri japo ushauri uo utaanzia kwa kukaa pamoja wewe na mkeo au utarejea swali la kwanza ni kwanini haukai nae na ilo suala la kukaa nae litawezekana? Next ushauri ni kutafuta chanzo kingine cha mapato.
1.Kama nilivyofafanua jana,ninaishi na familia yangu ila siishi na wadogo zangu!
2.Nilioa mama wa nyumbani ila anayajua maisha!
3.Wadogo zangu wameishia kidato cha 4!
4.Sina baba,nimelelewa na mama kwa asilimia 85,baba alikufa nikiwa shule ya msingi
 
Ushauri wangu. Mchukue mkewako uishi nae. Tatizo ni kwamba unaishi peke yako hata mawazo yako hayawezi kupanuka.

Mshirikishe mkewako vitu vyako pia mtafutie kabiashara kakufanya.

Genge ulilofungua angekua analisimamia mkewako mngekua mbali maana gengetu linaweza kukulazia mpaka elf 50 kwa siku. Sasa piga 50 x 30 = M 1.5 kwa mwezi hapo ungekua mbali sana.

kuna faida kubwa kuishi na mkewako kaka sasa hivi wanawake wamekua chachu ya mafanikio kama ukiwapa fursa.
Asante kwa ushauri nitaufanyia kazi!Ninaishi na mke wangu na watoto wangu ila kama nilivyosema siishi na wadogo zangu!!
 
vizuri kama unaishi na mkewako. Mtumie vizuri usikubali akae nyumbani.

kusanya fedha au tafuta mkopo mfungulie mama ntilie apike chakula kizuri.

ina lipa sana nilikua na mfahamu dada m1 alikua amefungua mama ntilie kadogo lakini kila siku alikua anaingiza elf 40 kama faida.
 
Asante kwa ushauri
 
1.Mkuu sasa fanya utafiti na mkeo mfanye biashara ya kuingiza kipato kulingana na eneo husika mlipo, uweke kipind cha mpito ata mwaka bila kua na saving ili iyo biashara iimarike au kilimo au ufugaji, ifike atu a biashara ndio iendeshe familia kwa mahitaji yote ya muhimu (kama mkeo anabiashara basi kaa nae uangalie namna gani mnatanua wigo la biashara)
2. Wadogo zako ni wakubwa tazama malengo yao uangalie namna gani unaweza shirikiana nao ukawajengea misingi waweze kujitegemea

Izo 1 na 2 apo juu ni lazima ujitoe kweli kweli uwe na kipind cha mpito yaan uwe na mpito ambao hutaweza fanya jambo lingine la matumizi ya ela tofauti na apo tu yaan usiwe na maendeleo upande mwingine tofauti na apo, kwa mshahara wa 700,000 kwa mwezi sio mdogo wala sio mkubwa ila ukibaki hivyoivyo ndo changamoto kwa baadae maana majukumu yanaongezeka, kwaiyo chakukushauri mimi binafsi usianze na saving kwanza anza na kutatua izo sehem mbili kuweza kujitegemea then uje kwenye saving, ao wanaokushauri uwatekeleze wadogo zako achana nao utakuja kupata tabu sana baadae nao wakianza kua na familia alafu masikini wasaidie wajitegemee lakn ukae nao chini muweke mipango kwa pamoja wajue unawasaidiaje ili wakijakuzingua wasikuangushie lawama

Final sasa saving unaweza ifanya ata kila mwezi 500,000 alafu 200,000 matumizi ya dharula, kuhusu kuendesha familia ni biashara mtakayokua mmeukuza ww na mkeo maana unaweza fanya biashara nayo ikaingiza faida ya 700,000s kwa mwezi pia ili uwe na maendeleo mazuri shirikiana wewe na mkeo kwa 100% namna ya kubana matumizi.
1.Kama nilivyofafanua jana,ninaishi na familia yangu ila siishi na wadogo zangu!
2.Nilioa mama wa nyumbani ila anayajua maisha!
3.Wadogo zangu wameishia kidato cha 4!
4.Sina baba,nimelelewa na mama kwa asilimia 85,baba alikufa nikiwa shule ya msingi
 
1.Mkuu sasa fanya utafiti na mkeo mfanye biashara ya kuingiza kipato kulingana na eneo husika mlipo, uweke kipind cha mpito ata mwaka bila kua na saving ili iyo biashara iimarike au kilimo au ufugaji, ifike atu a biashara ndio iendeshe familia kwa mahitaji yote ya muhimu (kama mkeo anabiashara basi kaa nae uangalie namna gani mnatanua wigo la biashara)
2. Wadogo zako ni wakubwa tazama malengo yao uangalie namna gani unaweza shirikiana nao ukawajengea misingi waweze kujitegemea

Izo 1 na 2 apo juu ni lazima ujitoe kweli kweli uwe na kipind cha mpito yaan uwe na mpito ambao hutaweza fanya jambo lingine la matumizi ya ela tofauti na apo tu yaan usiwe na maendeleo upande mwingine tofauti na apo, kwa mshahara wa 700,000 kwa mwezi sio mdogo wala sio mkubwa ila ukibaki hivyoivyo ndo changamoto kwa baadae maana majukumu yanaongezeka, kwaiyo chakukushauri mimi binafsi usianze na saving kwanza anza na kutatua izo sehem mbili kuweza kujitegemea then uje kwenye saving, ao wanaokushauri uwatekeleze wadogo zako achana nao utakuja kupata tabu sana baadae nao wakianza kua na familia alafu masikini wasaidie wajitegemee lakn ukae nao chini muweke mipango kwa pamoja wajue unawasaidiaje ili wakijakuzingua wasikuangushie lawama

Final sasa saving unaweza ifanya ata kila mwezi 500,000 alafu 200,000 matumizi ya dharula, kuhusu kuendesha familia ni biashara mtakayokua mmeukuza ww na mkeo maana unaweza fanya biashara nayo ikaingiza faida ya 700,000s kwa mwezi pia ili uwe na maendeleo mazuri shirikiana wewe na mkeo kwa 100% namna ya kubana matumizi.
Asante kwa ushauri!!Nitaufanyia kazi ushauri wako.Nimejaribu kuwaomba ushauri wafanyabiashara mbalimbali wengi wananitia hofu wakidai kuwa kwa mazingira ya sasa ya biashara na ugumu wa maisha ulivyo ninahitaji mtaji mkubwa ili niweze pata faida ya kuanzia sh 600,000/= kila mwezi
 
Hakuna mfanyabiashara atakae kwambia biashara inalipa, ni mipango tu, uzuri mke unae tena sio muajiriwa mtapambana either kwa kilimo,ufugaji au biashara, mfano uko mkoani upande wa kilimo na ufugaji wengi wanashindwa sababu za misingi lakn kitu kama mifugo hakijawahi muangusha mtu, ukitaka kufuga mpeleke mke kwenye taasisi zinazotoa elimu ya ufugaji apate elimu kulingana na anachotaka kufuga, mfano kuku wa mayai, lakn apo ap kuku ili walipe maanzia esabu za kuku 800s wakianza kutaga tu wanajiendesha wenyewe faida utakuja kupata ukiuza wote ila kabla huja anza ufugaji fanya utafiti wa masoko, kuna ngombe wa maziwa pia mikoa ya baridi iyo wanaishi fresh nao pia atleast uanzie ngombe 4 watalipa.

Nashukuru sana kwa ushauri!
 
Asante sana mkuu kwa ushauri wako,nitaufanyia kazi!Ila tatizo ni kuwa kiwanja changu kiko mkoa wa tatu toka nilipo kwa sasa.
Mbeya alafu uko peke yako ya Nini kuishi kwenye nyumba ya sh 100,000 kwa mwezi?jisikie huo ufahari wa kuishi kwenye nyumba nzuri ikiwa ni yako otherwise jifunze kuishi hata kwenye nyumba isiyo na umeme ukipangilia mambo yako.ushauri wangu ni kwamba Anza kuishi na familia yako mambo mengine yatajipanga vizuri hasa Kama wewe ni mwanaume muwajibikaji.
 
Hakikisha vyakula vyote mnavyokula unajilimia wewe mwenyewe.tena mbeya kuna mvua mara 2 kwa mwaka.
 
Asante kwa ushauri!!Nilikuwa ninafikiria kuwa kwa kuwa nina chanzo kimoja cha kipato kwa sasa,natafuta kashughuli ka kufanya ambako badala ya kuweka ile pesa kiduchu ya akiba niliyopanga kwenye bajeti yangu niwe naiongezea kwenye hiyo shughuli!!!
 
Back
Top Bottom