Naombeni ushauri juu ya namna ya kupanga bajeti na kuiishi!!!!

Ok hata kama uishi nao bado wajengee kujitegemea full stop ujue kuna vtu vya msingi vya kusaidia na shida nyingine n za kawaida ambazo mtu anatatua mwenyewe
Asante kwa ushauri,kuna pointi hapo kwenye maelezo yako nimeichukua
 
HILI NI TATIZO LA WENGI
 

Ila tafuta chanzo kipya cha mapato,Nunua hata mchele kwa bei ya jumla umpelekee mkeo auze
 
Daaaaa br una familia kubwa sanaaaaaa
 
Kwanza kabisa tafuta nyumba unayokaa na mwenye nyumba hapohapo..tena awe anaitegemea nyumba yake kuendesha maisha. Pia awe
hapo panga nyumba unayokaa na mwenye nyumba hapohapo na mwenye nyumba awe anaitegemea nyumba yake kuendesha maisha yake. Pia chukua mkeo wanao na ndugu zako kaa nao hapo.hapo utapata study nzuri na murua juu ya kupanga bajeti tena kwa vitendo na si kwa kufundishwa..bajeti itakuja automatically
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…