Naombeni ushauri juu ya tiba ya huu mchungwa

Naombeni ushauri juu ya tiba ya huu mchungwa

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2023
Posts
7,189
Reaction score
10,375
Naombeni ushauri tafadhali. Tatizo la huu mti wa mchungwa ni kama linavyoonekana pichani.

Nilishauriwa na muuza pembejeo za kilimo ninyunyizie DUDU ETHOATE lakini haijasaidia.

Kuna dawa inayoweza kuusaidia?

IMG_20230802_110332.jpg
IMG_20230802_110301.jpg
IMG_20230802_110234.jpg
IMG_20230802_110208.jpg
IMG_20230802_115209.jpg
 
Whiteflies hao. Nenda dukani na hii picha utapewa dawa. Hakikisha wakati wa kupuliza unapuliza na chini ya majani. Puliza asubuhi sana au saa moja usiku muda jua limezama. Mida ya hiyo wadudu wanakua wametulia kwenye majani na si rahisi kuruka muda huo
 
Kama unafuga sungura, tafuta mkojo wake changanya na maji kidogo nyunyizia mtu wako, wakirudi ntakulipa kiongozi
 
chukua sabuni ya kuoshea vyombo ya maji, changanya na maji piga itakuwa poa
jitahidi usitumie kemikali, jaribu kutumia mbadala wa kemikali kama ulivyoshauriwa utumie pia mkojo wa sungura ni poa saana
 
Chukua mkojo wako ule wa kwanza kabisa asubuhi. Mwagia huo mkojo ukiwa wa motomoto asubuhi sana. Utasahau kabisa hao wadudu
 
Back
Top Bottom