Naombeni Ushauri Kuhusu Biashara ya Kukodisha CD za Movies

Naombeni Ushauri Kuhusu Biashara ya Kukodisha CD za Movies

Mr HQ

Member
Joined
Oct 26, 2020
Posts
81
Reaction score
51
Habari Ndugu Zangu Naimani Wote Ni Wazima Wa Afya.🙏

Ndugu Zangu Nimepata Wazo La Kufanya Biashara Ya Library Yani Kuban Movies Kwa empty CD Na Music Pia Kuuza Flash Na Memory Card Pia Kuuza Vifaa Vidogo Vidogo Vya Simu Kama Vile Earphones, Makava Ya Simu Na Chaji.

Kwani Mtaji Ninao Wakutisha.🙏

NAOMBA KUFAHAMU MAMBO YAFUATAYO:

1. Ni Computer Gani Nzuri Zaidi Itayo Rahisisha Kazi Hata Ukiwa Na Wateja Wengi.

2. Kama Kuna Ambaye Amewahi Kufanya Hii. Biashara Au Kwa Wale Wazoefu Unaweza Kunipa Ushauri Wowote Ambao Utanisaidia Kimaendeleo.🙏

3. Pia Naomba Kama Mnaweza Kunipa Mawazo Mengine Ya Biashara Itapendeza Zaidi.🙏🙏
 
Ntafute nikuuzie flash Gb 32 kwa 12,000/= mzigo upo wakutosha
 
Kwa mwenye kufahamu jamani mm nahitaji kujua telegram chanel ya kudowload movie zilizotafsiriwa
 
Back
Top Bottom