Naombeni ushauri kuhusu huyu mwizi aliyepigwa Mtaani kwetu

Hii ni kweli kabisa,mwaka ulioisha Kuna fala amefugwa lakn mwanzo alidai yeye ni mwamba kesi ya utapeli hajawahi kufugwa ,sasa baada ya mm kutoa ushaidi jamaa alitoka mahakamani analia maana nilimkaanga kisawa sawa na maswali yake yalikuwa kama 100 lakn mm niliyasolve kiwepesi Sana.
 
Hakuna namna unaenda kunyea debe tu ....
Huchomoki hapo
 
Kukamatwa hakuzuiliwi, andaa mtu wa kukudhamini.

Kushitakiwa ndiyo ishu tunayoweza kujadili hapa.

Kwenye kesi za namna hiyo ni ngumu sana Polisi kukamilisha ushahidi usiotia shaka kwamba ulipiga ili kukuandika mashitaka.

Kiufupi hauwezi kushitakiwa na ukishitakiwa lazima kesi itatupiliwa mbali.

Kutaja tu: 'na huyu' siyo ushahidi unaojitosheleza kukutia hatiani, mpaka apatikame shahidi mwingine kuthibitisha.
 
Sawa mkuu
 
Hadi ithibitike so usiogope
 
Yaani mfano uje ukamatwe halafu useme nilikuwepo lakini sikumpiga, wee bongo hii nani atakuamini kihivyo. Najua unajua cha kufanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…