Nashukuru sana kwa ushauri nitaufanyia kazi 🙏We acha i-eksipae wala usipaniki siku ukiwa tayari nenda tena watakupa control namba ingine
Sio ishu kupata control namba
Deni lililokuja ni sawa na mshahara wangu wa mwezi mmoja kabla ya kukatwa kodiUnadaiwa sh.ngapi?