Naombeni ushauri kuhusu Kijana huyu

Naombeni ushauri kuhusu Kijana huyu

Hujaona huko juu mmoja amesema mtoto wake walikuwa wanacheza kushikana makalio.

Hii ni kiama ya wote kila mtu ajipange kuokoa watoto.
Aisee, sijui shida nini tu. Watoto wadogo mambo kama hayo wanayaonea kwa television au? Tumefikia pabaya sana
 
Hayo ndio madhara ya mtoto wa kiume kulelewa na mama au bibi. Anakosa male role-model. Mama pekee hatoshi kumlea mtoto wa jinsia yoyote.
Wanawalea watoto wa kike kuwa ma-feminists na watoto wa kiume kuwa mashoga.

Single mothers angalieni namna mnavyowalea watoto. Binafsi napinga vikali ushoga na mapenzi ya jinsia moja (lesbians). Nalaani vikali
 
Back
Top Bottom