Naombeni ushauri kuhusu mahuiano na mwanamk aliyenizidi umri

Naombeni ushauri kuhusu mahuiano na mwanamk aliyenizidi umri

Mtu porii

Member
Joined
Jan 29, 2024
Posts
42
Reaction score
160
Shalom shalom. Mwanamke aliyenizidi umri ananitaka mana nilikuwa nikimsalimia shikamoo anakwepa, ni limwalim wa secondary kanizidi kama miaka 15 hivi. muda wote anataka kuchat usipochat ananuna.

Ushauri wenu wanazengo
 
Fanya unachojisikia hayatuhusu sisi.
 
Mkuu umesema ngombe kajileta kichionjioni, kisu unacho ila hujui ufanyeje ???
Kabisaaa ukaja JF ukauliza halaiki ufanyeje 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom