Naombeni ushauri kuhusu mahusiano haya ya mama yangu na huyu mwanaume

Naombeni ushauri kuhusu mahusiano haya ya mama yangu na huyu mwanaume

Hapo Maza amesha zungushiwa unga hwezi kuruka.kiukweli mnapozaliwa na mama mmoja lakini kila mtu ana babaake ni shida sana.hapo hata Ile upendo wa kiundugu ni hafifu mno,kikubwa nyie ni watu wazima tafuten maisha yenu maana huyo Mzee anavizia penshen atusue
 
Back
Top Bottom