Naombeni ushauri kuhusu michirizi "Stretch marks"

Naombeni ushauri kuhusu michirizi "Stretch marks"

SaulGoodman

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2020
Posts
418
Reaction score
906
Guys I hope you good, let's skip formalities and jump right into the topic.

Ninaomba msaada kwa anayefahamu dawa nzuri (ninapo sema dawa nzuri namaanisha dawa yenye matokeo hasi kidogo sana "having least side effects") ya kupunguza au kuondoa kabisa michirizi.

Itakua vyema sana kama Ushauri utatoka kwa mtaalamu wa ngozi (dermatologist) au mtu ambaye ana uzoefu wa kua nazo na kuzitibu.

Natanguliza shukran za dhati🙏
 
Tumia BIO OIL original itakusaidia...
Ila pia tunatoa kwa mashine karibu PM
Original nakazia tena...
 
Tumia BIO OIL original itakusaidia...
Ila pia tunatoa kwa mashine karibu PM
Original nakazia tena...
mkuu unaweza kunipa picha ya hiyo bio oil mama watoto wangu zimemtoka michirizi ila yy alitumia vipodozi mkuu
 
Back
Top Bottom