Naombeni ushauri kuhusu mwanamke huyu

Naombeni ushauri kuhusu mwanamke huyu

Kitu kimoja unatakiwa kujua ni kuwa mwanamke akimpenda mtu kwa dhati toka moyoni kabisa huwa hamuombi hela kabisa! Amini kabisa nakwambia. Ukimsaidia sawa usipompa hakuombi!

Ukiona mwanamke anaomba sana hela jua anakuchukulia poa na hajali ukiondoka maishani mwake au ukibaki.

Nje ya mada, huyu dada umeshagonga au bado?
Naomba hela
 
Habari zenu.

Aisee kuna mwanamke nimeingia naye kwenye mahusiano nina kama week sasa kasha nitoboa pesa kibao,yani sijui kaniona nina pesa sana,akikaa kidogo lazima aje ofisini anitoboe pesa,nishachoka sasa naombeni msaada nimkabili kwa dizaini gani,maana huku kuna wataalam wa mambo haya na jinsi ya kukomaa na wanawake wa dizaini hii.

Wakurungwaaa nisaidieni naona naenda kufilisika kisa mbunyenye
Kumbe unajiita Nebukadneza harafu hujui hata Maana yake?
Unachafua majina ya Watu wenye Legasi zao
 
Kitu kimoja unatakiwa kujua ni kuwa mwanamke akimpenda mtu kwa dhati toka moyoni kabisa huwa hamuombi hela kabisa! Amini kabisa nakwambia. Ukimsaidia sawa usipompa hakuombi!

Ukiona mwanamke anaomba sana hela jua anakuchukulia poa na hajali ukiondoka maishani mwake au ukibaki.

Nje ya mada, huyu dada umeshagonga au bado?
You are very correct 100% according to My Experience.

Yaani hakuombi hata Mia.
 
Back
Top Bottom