Naombeni ushauri kuhusu Toyota Harrier first generation.. Nataka niichkue soon.

Kadwanguruzi

Member
Joined
Oct 9, 2024
Posts
70
Reaction score
90
Habari zenu wanaJamii..

Nina wazo la kununua Harrier ile old model.. first generation za mwaka kati 1999 hadi 2002.

Naomba ushauri kuhusu maintenance costs, Reliability na fuel consumption. Nafaham zipo za 2.2cc, 2.4cc na 3.0cc. Ofcourse ningependelea yenye 2.2cc kulingana na factor yangu ya efficiency ya mafuta. Nmeitumia kdg ya rafiki yangu, ndio nkapata inspiration ya kuichkua pia.

NB. Si mpya sana wa ndinga nmekuw nkitumia sienta for 9months now.
 
Attachments

  • 1730125056959.jpg
    1730125056959.jpg
    333.7 KB · Views: 17
ndinga iko vizurii mazee...unalipaki eneo kisha una fanya makojozi siti ya nyumaa
FB_IMG_1730124747007.jpg
 
Habari zenu wanaJamii..

Nina wazo la kununua Harrier ile old model.. first generation za mwaka kati 1999 hadi 2002.

Naomba ushauri kuhusu maintenance costs, Reliability na fuel consumption. Nafaham zipo za 2.2cc, 2.4cc na 3.0cc. Ofcourse ningependelea yenye 2.2cc kulingana na factor yangu ya efficiency ya mafuta. Nmeitumia kdg ya rafiki yangu, ndio nkapata inspiration ya kuichkua pia.

NB. Si mpya sana wa ndinga nmekuw nkitumia sienta for 9months now.
Chagua lako ni zuri,chukua tu wala hazinaga shida na mtu hasa hiyo ya 2.2 (5s engine). Itakupa karibu kila kitu unachokitaka...ukitunza vzr,utawaachia mpk watoto. Nimependa wewe sio wa kukimbilia fasheni. Kila la heri
 
Nashkuru sana kwa mrejesho wako mzuri. Nimepata mwanga flani. Basi ngoja ni stick na hili chaguzi. Anytime soon na upgrade.
 
Back
Top Bottom