Kadwanguruzi
Member
- Oct 9, 2024
- 70
- 90
ππππ Ila jamaa wa Jeifu kuna muda mnafanya watu tucheke kwenye vikao vinavyo hitaji u serious najuta kufungua uzi dadekindinga iko vizurii mazee...unalipaki eneo kisha una fanya makojozi siti ya nyumaa
View attachment 3137409
ππ Ayabana, ila ssa si itakuwa chanzo cha mauti yangu hiindinga iko vizurii mazee...unalipaki eneo kisha una fanya makojozi siti ya nyumaa
View attachment 3137409
Umona banaπππππ Ila jamaa wa Jeifu kuna muda mnafanya watu tucheke kwenye vikao vinavyo hitaji u serious najuta kufungua uzi dadeki
2nd generation bajeti kdgo imepanda kulingana uwezo binafsi, nlitaka nianze na hyo 1st gen kwanzaPambania 2nd gen.
Chagua lako ni zuri,chukua tu wala hazinaga shida na mtu hasa hiyo ya 2.2 (5s engine). Itakupa karibu kila kitu unachokitaka...ukitunza vzr,utawaachia mpk watoto. Nimependa wewe sio wa kukimbilia fasheni. Kila la heriHabari zenu wanaJamii..
Nina wazo la kununua Harrier ile old model.. first generation za mwaka kati 1999 hadi 2002.
Naomba ushauri kuhusu maintenance costs, Reliability na fuel consumption. Nafaham zipo za 2.2cc, 2.4cc na 3.0cc. Ofcourse ningependelea yenye 2.2cc kulingana na factor yangu ya efficiency ya mafuta. Nmeitumia kdg ya rafiki yangu, ndio nkapata inspiration ya kuichkua pia.
NB. Si mpya sana wa ndinga nmekuw nkitumia sienta for 9months now.
Nashkuru sana kwa mrejesho wako mzuri. Nimepata mwanga flani. Basi ngoja ni stick na hili chaguzi. Anytime soon na upgrade.Chagua lako ni zuri,chukua tu wala hazinaga shida na mtu hasa hiyo ya 2.2 (5s engine). Itakupa karibu kila kitu unachokitaka...ukitunza vzr,utawaachia mpk watoto. Nimependa wewe sio wa kukimbilia fasheni. Kila la heri