Naombeni ushauri: Kwa hali hii maamuzi ya kuuza nyumba yatakuwa sahihi?

Dalali wa mjini

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2024
Posts
326
Reaction score
464
Mimi ni baba wa watoto watatu Na mke mmoja Nina miaka 34.

Mtoto wa Kwanza ni kwa mwanamke wa Kwanza na Hawa wawili ni kwa mke niliyenae sasa ambaye naishi nae hapa nyumbani.

Nimezaliwa Na kukulia mkoa X, nimekuja Dar kutafuta Maisha lakini mji huu unahitaji uwekezaji Na connection Za biashara.

Nina nyumba yenye uwanja mkubwa, nimeijenga baada ya kwenda South Africa lakini Kwa sasa Maisha ni magumu Sana South Africa kwahiyo nikachukuwa jukumu la kurudi nyumbani.

Nilianzisha biashara ya Duka la spear za pikipiki mkoa niliozaliwa lakini Ile biashara ilikuja kufa kabisa nikaamua kuuza ili nipate Kodi ya kuja kuanza Maisha Dar es salaam.

Nimepata rafiki ambaye yeye anauza magari yake kwahiyo Mimi nikaanza Kazi ya udalali WA kuuza magari lakini Sina uzoefu hii Kazi ya udalali WA magari.

Maamuzi yangu Ni kuuza nyumba Na kuondoka mkoa X kabisa na pesa ambayo nitaipata natumia hili tobo la huyu rafiki yangu kwajili ya kununua MAGARI japani Na kuuza hapa nyumbani.

Naombe ushauri wenu wadau maamuzi ya kuuza nyumba Ni mazuri kweli ama hapana.?
 
Ukiuza Nyumba na biashara ukafeli utakuwa mgeni wa nani na wanao?Dalali hana Mtaji,pambana na Domo!
 
Kuuza Nyumba ni sawa, ila hiyo biaahara unayofikiria sio nyepesi Kaka
 
Naombe ushauri wenu wadau maamuzi ya kuuza nyumba Ni mazuri kweli ama hapana.?

Mbaya, utajua. Tulia ufikirie biashara ambayo utaimudu. Inaonekana unafanya mkumbo bila kutafakari. Hakuna mtu wanauza nyumbani kwenda kufanya biashara hata najijua haifahamu na hata kama anao fahamu nayo.

Umefeli hayo lazima iwe tahadhari, kwa wewe kuandika kuwa una watoto 3 kwa wanawake wawili sijui unafikiria nini haswa na hata hiyo uliyonayo unaona hawafahi kuishi humo!!! Tulia utapata njia ingine.

Angalia biashara zingine anza mdogo mdogo itakuwa, haya ya magari kwa sasa usiguse ni kama hauna bahati nayo.
 
Kuna vitu vya kuzingatia;
1. Hiyo nyumba sasa hivi inatumikaje? Kama ni nyumba ambayo mke na watoto wako wanaishi, hata sheria inakataza kuuza kabla ya kukubaliana na mwenzi wako.

2. Unasema biashara ya spare za pikipiki ilikufa. Je, sababu zilizofanya biashara hiyo kufa haziwezi kujirudia kwenye biashara ya magari?

3. Kwa sasa hivi unafanya shughuli gani? Je, kuendeleza na kupanua shughuli unayofanya sasa hivi kutalazimu kuuza nyumba?

4. Je, unaweza kutumia nyumba kuchukua mkopo badala ya kuiuza?

5. Nyumba ni hitaji la lazima kwa familia. Gharama za kutafuta makazi mengine inawezekana kulipwa na faida ya biashara unayotaka kufanya?

Baada ya kuzingatia hayo, ni muhimu utofautishe kati ya mtu mwenye familia na asiye na familia. Kwa vile wewe una familia, maamuzi yako ni lazima yaangalie ustawi, afya na usalama wa wanafamilia wengine.

Kwa kuangalia taarifa ulizotoa hapa, ushauri ninaoweza kukupa ni kuwa USIUZE nyumba wanayoishi mke na watoto wako.
 
Unauza nyumba ili iweje, sikia kama una angalau milioni moja hapo na upo dar, tafuta mtaani uliochangamka kodi fremu ya elfu 20 miezi sita kisha watafute wale wa magari ya gesi nunua mitungi ya gesi ya laki tano weka kwenye fremu anza kuuza, biashara hii haina hasara, unaweza kuingiza hata laki kwa wiki kama ukifungua kwenye mtaa mzuri.

Chukua hiyo laki tano iliyobaki fungua butcher la nyama, tafuta frem mtaani hata ya elfu 20 miezi sita, nunua panga, shoka, gogo, mzani na machuma ya kuanikia nyama anza kazi kuhusu friji sijui vioo utaweka siku nyengine hapo nunua tu nyama ya ng'ombe machinjoni anza kazi, ukiuza kilo moja ya nyama unapata elfu kumi hivyo watu kumi hapo una laki yak, hivyo kwa wiki huwezi kukosa wateja wanyama ya ng'ombe mtaani biashara hii haina hasara kwa dar es salaam

Kila la kheri biashara hizo mbili naamini zitakutoa mkuu, kama huna hiyo million moja kama nyumba inakiwanja kikubwa sana kata enso uza upate mtaji
 
Biashara zingekuwa rahisi namna hii, naamini kila mtanzania angekuwa tajiri.
 
Frem ya elfu 20 dar es salamaa hii hii ninayo ijua mimi??
 
Back
Top Bottom