Naombeni ushauri kwa hili. Nimetuma pesa kwa Dada niliyejuana naye Instagram

Ulishindwa kutafuta wa hukohuko Morogoro au ndio Moro hawatumii insta??!

Don't hunt what you can't kill.
 
Potezea mkuu , pengine yupo Mwanza kakuzuga tuu kuwa yupo Dar na yupo njiani kuja Morogoro
 
Elfu kumi 🀣🀣🀣🀣🀣


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Daaah, hyo Kibaha unanokumbusha mrembo mmoja hapa site from Kibaha namuelewa sana IseeH
 
Mkiambiwa mtoe sadaka nzuri kwenye nyumba za ibada mnakuwa wagumu. Bora umeibiwa ili akili ikukae sawa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona kazi yako
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtumie na mama yako kijijini elfu 10 ili akupe baraka zake ili kidosho afunguliwe njia aje.
 
Mkuu wewe ni mtu mwema sana tena una huruma


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kunywa maji mengi maana nahisi now unatokwa na Jasho jingi mno, pia kama ulishanunua zile dawa za kuongeza nguvu basi nakushauri karudishe Nusu harasa ma hilo Duka la Dawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…