Ghostshadow
Senior Member
- Aug 11, 2018
- 128
- 85
Kamroge yupo mganga matata sana ntakuelekeza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23]Huwa tunawaambiaga njo nauli utaikuta
Akizinguaga tunamwambia
Huko wapi nikufuate
Hapo kama nili jizi linaku block
Tatizo huuzurii kwenye vikao
Sent using Jamii Forums mobile app
KilangalangaKibaha sehemu gani nikusaidie mkuu
Maili moja
Kwa mbonde
Kwa matiasi
Msikitini
Pangani
Mwanalugali
Tanita
Kwa mfipa
Mwendapole
Kongowe
Miembe Saba
Misugusugu
Kwa kipofu
Maili 35
Madafu
Miwaleni shule
Msufini
Mlandizi
Ruvu
Vigwaza
Mtongani
Mlandizi bondeni
Soga
Kwala
Ruvu
Magindu
Wapi mzee sema nkamtafte chap nmpandishe gari aje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Usihofu mkuu ,,huyo jamaa pengine yupo saloon ananyoa ndevu.Mda mchache nimetoka kutuma M-pesa kwa mdada amabye tumejuana jana tu kwa Instagram, sasa nimemtumia kiasi cha pesa Tsh10k. Tangu asbh ya saa 10am sasa nashangaa kila baada ya saa 1hr yeye ananiambia kuwa anamalizia kazi. Me niko Morogoro yeye anasema yuko Kibaha.
Sasa nishaurini nichukue hatua gani Maana nahisi kama nimeibiwa hivi
Sent using Jamii Forums mobile app