Naombeni ushauri kwa hili. Nimetuma pesa kwa Dada niliyejuana naye Instagram

Naombeni ushauri kwa hili. Nimetuma pesa kwa Dada niliyejuana naye Instagram

Kibaha sehemu gani nikusaidie mkuu
Maili moja
Kwa mbonde
Kwa matiasi
Msikitini
Pangani
Mwanalugali
Tanita
Kwa mfipa
Mwendapole
Kongowe
Miembe Saba
Misugusugu
Kwa kipofu
Maili 35
Madafu
Miwaleni shule
Msufini
Mlandizi
Ruvu
Vigwaza
Mtongani
Mlandizi bondeni
Soga
Kwala
Ruvu
Magindu




Wapi mzee sema nkamtafte chap nmpandishe gari aje?



Sent using Jamii Forums mobile app
Kilangalanga
 
Mda mchache nimetoka kutuma M-pesa kwa mdada amabye tumejuana jana tu kwa Instagram, sasa nimemtumia kiasi cha pesa Tsh10k. Tangu asbh ya saa 10am sasa nashangaa kila baada ya saa 1hr yeye ananiambia kuwa anamalizia kazi. Me niko Morogoro yeye anasema yuko Kibaha.

Sasa nishaurini nichukue hatua gani Maana nahisi kama nimeibiwa hivi

Sent using Jamii Forums mobile app
Usihofu mkuu ,,huyo jamaa pengine yupo saloon ananyoa ndevu.

Akimaliza atakuja,,
 
1609801728392.png
 
Back
Top Bottom