FUTURE HUNTER
JF-Expert Member
- Apr 30, 2018
- 2,112
- 2,822
Salaam kwenu wakuu.
Naombeni wazoefu wa biashara za nguo mnipe mbinu za kudhibiti wateja wezi.
Anakuja kama mteja anaangalia nguo na hata kujaribu na mwisho anaondoka. Ukija kuangalia baadhi ya nguo unakuta tayari hazipo. Na mara nyingi wanaingia ndani ya duka na kujifanya wanaangalia sample mbali mbali.
Leo hii nimegundua mzigo wa tsh 600,000/= baada ya wamama wawili kujifanya wanachagua.
Nilipokuwa busy kuhudumia wengine naona walikuwa wanaficha nguo mwilini.
Nitumoe mbinu gani kuwakabli na wizi umekuwepo mara kadhaa