FUTURE HUNTER
JF-Expert Member
- Apr 30, 2018
- 2,112
- 2,822
Funga Camera ,weka zile sehemu muhimu hata nne(Hizi ni real camera) halafu unaweka Matoyi ya camera hata 8 ya kuwazuga wateja ,hizo camera ziwe zinaonekana kabisa ,mteja akishaona camera waziwazi anaogopa kufanya TUKIO hata kama hazifanyi kazi....Hizo camera real unaziwekea nchi 43 hapo wakiingia tu wanajiona kwenye camera.Salaam kwenu wakuu.
Naombeni wazoefu wa biashara za nguo mnipe mbinu za kudhibiti wateja wezi.
Anakuja kama mteja anaangalia nguo na hata kujaribu na mwisho anaondoka. Ukija kuangalia baadhi ya nguo unakuta tayari hazipo. Na mara nyingi wanaingia ndani ya duka na kujifanya wanaangalia sample mbali mbali.
Leo hii nimegundua mzigo wa tsh 600,000/= baada ya wamama wawili kujifanya wanachagua.
Nilipokuwa busy kuhudumia wengine naona walikuwa wanaficha nguo mwilini.
Nitumoe mbinu gani kuwakabli na wizi umekuwepo mara kadhaa
Wazo bora kabisaFunga Camera ,weka zile sehemu muhimu hata nne(Hizi ni real camera) halafu unaweka Matoyi ya camera hata 8 ya kuwazuga wateja ,hizo camera ziwe zinaonekana kabisa ,mteja akishaona camera waziwazi anaogopa kufanya TUKIO hata kama hazifanyi kazi....Hizo camera real unaziwekea nchi 43 hapo wakiingia tu wanajiona kwenye camera.
Sas wateja si wataogopa kujaribu nguo wakihofia camera au mimi nimewaz tofauti?Funga Camera ,weka zile sehemu muhimu hata nne(Hizi ni real camera) halafu unaweka Matoyi ya camera hata 8 ya kuwazuga wateja ,hizo camera ziwe zinaonekana kabisa ,mteja akishaona camera waziwazi anaogopa kufanya TUKIO hata kama hazifanyi kazi....Hizo camera real unaziwekea nchi 43 hapo wakiingia tu wanajiona kwenye camera.
Kwani si kuna sehemu ya kujaribu nguo? Huko hakuna camera ,ila sehemu anapochukua na kwenda kwenye changing room hapo anaonekana ,akitoka either airudishe au anunue....asipoirudisha si unajua ameiba.Sas wateja si wataogopa kujaribu nguo wakihofia camera au mimi nimewaz tofauti?
Mkuu hii haiwezi kukuletea matatizo kwa kuangalia privacy zao wakati wakibadili nguo? Wakikushtaki jengoja wataalamu waje , ila ukikosa kabisa mbinu weka camera ya siri huko wanapobadilishia nguo, ili kuokoa mtaji
Kuna ma-specialist wa wizi wa maduka ya nguo. Mjomba wangu alikuwa na duka na kuna kipindi nilikuwa naenda kumsaidia na nilijifunza mengi.Salaam kwenu wakuu.
Naombeni wazoefu wa biashara za nguo mnipe mbinu za kudhibiti wateja wezi.
Anakuja kama mteja anaangalia nguo na hata kujaribu na mwisho anaondoka. Ukija kuangalia baadhi ya nguo unakuta tayari hazipo. Na mara nyingi wanaingia ndani ya duka na kujifanya wanaangalia sample mbali mbali.
Leo hii nimegundua mzigo wa tsh 600,000/= baada ya wamama wawili kujifanya wanachagua.
Nilipokuwa busy kuhudumia wengine naona walikuwa wanaficha nguo mwilini.
Nitumoe mbinu gani kuwakabli na wizi umekuwepo mara kadhaa
Hii mbinu haifai. Kwanza wateja akijua unafanya hili watakimbia duka lako halafu ki-sheria ni kosa kubwa sana.Mkuu hii haiwezi kukuletea matatizo kwa kuangalia privacy zao wakati wakibadili nguo? Wakikushtaki je
Maana ni kama kuweka camera chooni tu
Ni kesi kubwaHii mbinu haifai. Kwanza wateja akijua unafanya hili watakimbia duka lako halafu ki-sheria ni kosa kubwa sana.
kiukweli kabisa si sawa, ila afanye kama last option kabisa kama kakosa mbinu.Mkuu hii haiwezi kukuletea matatizo kwa kuangalia privacy zao wakati wakibadili nguo? Wakikushtaki je
Maana ni kama kuweka camera chooni tu
Kama inamlipa vizuri aweke mfanyakazi wa ziadakiukweli kabisa si sawa, ila afanye kama last option kabisa kama kakosa mbinu.
au aweke huku kwenye nguo tu
Hata mimi naona ni option nzuri hiiNguo huwa wanajaladia wateja ongeza vijana na uwe makini sana!
Yeah biashara ya nguo ni ngumu, pia apunguze kuruhusu kujaribishia nguo kama sio lazima, wanamuachia mijasho tu!Hata mimi naona ni option nzuri hii