Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 35,204
- 61,081
Sijawaza hilo la jasho πππYeah biashara ya nguo ni ngumu, pia apunguze kuruhusu kujaribishia nguo kama sio lazima, wanamuachia mijasho tu!
Yaani kujaribu hapa ni kipengele kweli kweli na wengine ndio wanatumia mwanya huo kuibaYeah biashara ya nguo ni ngumu, pia apunguze kuruhusu kujaribishia nguo kama sio lazima, wanamuachia mijasho tu!
Kun
Yaani tena ni wamama mmoja kaka nje mwingine ndio huyo kaingia ndani ndio kaondoka na nguo. Unatamani kuua mtuKamera na wasaidizi ni mawazo yenye msaada.Ila,katika tabia zinazokera ni wizi na uongo.Hivi,akikamatwa mke wa mtu ameiba,mumewe atajisikiaje? Hatari sana.
a ma-specialist wa wizi wa maduka ya nguo. Mjomba wangu alikuwa na duka na kuna kipindi nilikuwa naenda kumsaidia na nilijifunza mengi.
Kuna mama mmoja yuko kama shome-shombe hivi anazungumza kama ana asili ya Zenji. Akiingia dukani mwako, anakuliza. Anakuja amevaa baibui, huku ameshika ''sample'' za vigauni, anataka kununua mzigo mkubwa. Anakubabaisha na kukusumbua kwa kusema ''hebu lete ile''. Ukigeuka tu, kwa kasi ya ajabu, anachukuwa gauni lolote lililo karibu, anatumbukiza ndani ya baibui lake (limeshonwa special kwa kuwekewa mifuko ya siri). Nakushauri ujaribu kuweka kijana mbele
Ni ngumu ndio, huoni ukienda kununua nguo numero uno kuna tag wanazitoa after kulipia?Sijawaza hilo la jasho πππ
Basi ni kazi ngumu sana na inataka uvumilivu haswa
Ni kweli mkuu na ni wamama.inaonyesha wako competent kuibaKuna ma-specialist wa wizi wa maduka ya nguo. Mjomba wangu alikuwa na duka na kuna kipindi nilikuwa naenda kumsaidia na nilijifunza mengi.
Kuna mama mmoja yuko kama shome-shombe hivi anazungumza kama ana asili ya Zenji. Akiingia dukani mwako, anakuliza. Anakuja amevaa baibui, huku ameshika ''sample'' za vigauni, anataka kununua mzigo mkubwa. Anakubabaisha na kukusumbua kwa kusema ''hebu lete ile''. Ukigeuka tu, kwa kasi ya ajabu, anachukuwa gauni lolote lililo karibu, anatumbukiza ndani ya baibui lake (limeshonwa special kwa kuwekewa mifuko ya siri). Nakushauri ujaribu kuweka kijana mbele ya duka. Wanapokuja wateja wengi yeye anaweka kiti mbele i.e. anageukia lilipo duka na wateja na kuangalia movement zote za wateja. Kingine, muuza duka awe mtu aliye shap, kuweza kuangalia na kugundua nyendo na kusoma saikolojia ya wateja. Ukichukuwa cheap labour hasa kutoka vijijini wasio na u-sharp wa mjini utapigwa sana.
Tenga nguo za kujaribu aisee na ziweke mbali na wateja kama wanazifikia kwa urahisi utaibiwa sana!Yaani kujaribu hapa ni kipengele kweli kweli na wengine ndio wanatumia mwanya huo kuiba