Aisatu
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 781
- 333
Habar wadau,
Ni hivi nimekuwa na mahusiano na demu taklibani miez 3, sasa analeta mambo ambayo hata hayaeleweki mim nilimuomba mahusiano ya kimapenzi, sasa tumezoeana sana, mara nyingine tunatukanana hadi tunataka kuachana kila tukitaka kuachana yeye ndo anaanzisha mada ya kuachana lakini mwisho wa siku mimi nikisema tuachane siliazi anaanza kunizushia maneno kibao.
Tumeenda kipindi kirefu sana hadi nimejistukia kuwa siwezi kumuacha, sasa nilikuwa naomba ushauri wenu na hivi sasa tushagombana tena mimi nataka niachane naye mazima, naombeni mbinu ya namna ya kumsahau huyu mwanamke maana hadi nahisi nimepotea kabisa mwanamke mwenyewe ni mama wa watoto 2.
Naomba kuwasilisha!