Naombeni ushauri ndugu zangu

Naombeni ushauri ndugu zangu

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Jambo ndugu zangu
Naomba ushauri wa mawazo kutoka kwenu
Mwezi wa kwanza mwaka kesho nilichukuwa mke
Lakini baada ya miaka Kazaa Kupita
Yule mwanamke nilianza kuona tabia zake baba yake na mjomba wakashauri familia juu mke wake na mama
Sasa ilo jambo linanitatiza
Sijui nyinyi mnanishauri nini
 
TTu

Tulia uandike vizuri
 
Kwisha.
1719051425442.jpg
 
Jambo ndugu zangu
Naomba ushauri wa mawazo kutoka kwenu
Mwezi wa kwanza mwaka kesho nilichukuwa mke
Lakini baada ya miaka Kazaa Kupita
Yule mwanamke nilianza kuona tabia zake baba yake na mjomba wakashauri familia juu mke wake na mama
Sasa ilo jambo linanitatiza
Sijui nyinyi mnanishauri nini
Sasa si usiburi hadi mwezi wa kwanza mwaka kesho ufike ndiyo uje uwombe ushauri ,bado ni mapema mno kukupa ushauri!!
 
Kweli unapitia kipindi kigumu aisee, msimulie mtu wako wa karibu alafu aje aandike kwa niaba yako. Picha inaanza hapo "mwaka kesho nilichukua mke" na hayo ya ndani kama picha ya kihindi steringi kafa mwanzo wa picha maana hueleweki
 
Jambo ndugu zangu
Naomba ushauri wa mawazo kutoka kwenu
Mwezi wa kwanza mwaka kesho nilichukuwa mke
Lakini baada ya miaka Kazaa Kupita
Yule mwanamke nilianza kuona tabia zake baba yake na mjomba wakashauri familia juu mke wake na mama
Sasa ilo jambo linanitatiza
Sijui nyinyi mnanishauri nini
Hiyo pusha huwa anaimix na mavi ya kondoo. Ishaanza kukuleta race
 
Jambo ndugu zangu
Naomba ushauri wa mawazo kutoka kwenu
Mwezi wa kwanza mwaka kesho nilichukuwa mke
Lakini baada ya miaka Kazaa Kupita
Yule mwanamke nilianza kuona tabia zake baba yake na mjomba wakashauri familia juu mke wake na mama
Sasa ilo jambo linanitatiza
Sijui nyinyi mnanishauri nini
HOMU OFU GLITI SINKAZ
 
Back
Top Bottom