Tulia uandike vizuriJambo ndugu zangu
Naomba ushauri wa mawazo kutoka kwenu
Mwezi wa kwanza mwaka kesho nilichukuwa mke
Lakini baada ya miaka Kazaa Kupita
Yule mwanamke nilianza kuona tabia zake baba yake na mjomba wakashauri familia juu mke wake na mama
Sasa ilo jambo linanitatiza
Sijui nyinyi mnanishauri nini
Sasa si usiburi hadi mwezi wa kwanza mwaka kesho ufike ndiyo uje uwombe ushauri ,bado ni mapema mno kukupa ushauri!!Jambo ndugu zangu
Naomba ushauri wa mawazo kutoka kwenu
Mwezi wa kwanza mwaka kesho nilichukuwa mke
Lakini baada ya miaka Kazaa Kupita
Yule mwanamke nilianza kuona tabia zake baba yake na mjomba wakashauri familia juu mke wake na mama
Sasa ilo jambo linanitatiza
Sijui nyinyi mnanishauri nini
proton pump aise raraa rereepunguza presha na uandke vizur,,mwezi wa kwanza mwaka kesho ulichukua mke how!?
Dogo mjinga sanaToa uchafu wako humu jf imeingiliwa na vitoto.eti mwezi wa kwanza mwaka kesho.halafu miaka kadhaa mbele.
wanefanyaje hao tena
Hiyo pusha huwa anaimix na mavi ya kondoo. Ishaanza kukuleta raceJambo ndugu zangu
Naomba ushauri wa mawazo kutoka kwenu
Mwezi wa kwanza mwaka kesho nilichukuwa mke
Lakini baada ya miaka Kazaa Kupita
Yule mwanamke nilianza kuona tabia zake baba yake na mjomba wakashauri familia juu mke wake na mama
Sasa ilo jambo linanitatiza
Sijui nyinyi mnanishauri nini
Daah sio poa kila nikirudiarudia kusoma labda nkunganishe niweze kuelewa ila holaa 🤣Watu wote tuna matatizo ya akili, ni suala la muda tuu
HOMU OFU GLITI SINKAZJambo ndugu zangu
Naomba ushauri wa mawazo kutoka kwenu
Mwezi wa kwanza mwaka kesho nilichukuwa mke
Lakini baada ya miaka Kazaa Kupita
Yule mwanamke nilianza kuona tabia zake baba yake na mjomba wakashauri familia juu mke wake na mama
Sasa ilo jambo linanitatiza
Sijui nyinyi mnanishauri nini
Watu mmejitokeza Kwa wingi kutoa ushauri matokeo yake mmepigwa na kitu kizitoDaah sio poa kila nikirudiarudia kusoma labda nkunganishe niweze kuelewa ila holaa 🤣
Inawezekana jamaa kiswahil sio lugha yake ndo maana inampa changamoto kuweza kuandika vizuri na kuelewekaWatu mmejitokeza Kwa wingi kutoa ushauri matokeo yake mmepigwa na kitu kizito