BABA BOMBASTIC
Senior Member
- Jul 10, 2024
- 146
- 246
Habari za mda huu
Nina million 1200000 wazo la biashara nililolipata ni kununu a pikipiki ya laki 8 alafu pesa inayobaki ninunue nguo za ndani za wadada na vigauni vikali niwe nawatembelea masaloon na kuwauzia je kwa hilo wazo nitafeli?
Maana nitakuwa na pikipiki nitakuwa na uwezo wa kuuza eneo kubwa na mzunguko utakuwa mkubwa.
Je, niwauzie vichupi au niangalie pamba kali za wadada?
Naombeni mnipe mawazo manzuri natanguliza shukrani.