Naombeni ushauri ndugu zangu

Naombeni ushauri ndugu zangu

Kama Una mil 12

Unaweza Kufungua duka eneo zuri ukawa unauza dukani na kufanya delivery Ila hiyo jinsi kuwa nayo makini
 
Habari za mda huu

Nina million 1200000 wazo la biashara nililolipata ni kununu a pikipiki ya laki 8 alafu pesa inayobaki ninunue nguo za ndani za wadada na vigauni vikali niwe nawatembelea masaloon na kuwauzia je kwa hilo wazo nitafeli?

Maana nitakuwa na pikipiki nitakuwa na uwezo wa kuuza eneo kubwa na mzunguko utakuwa mkubwa.

Je, niwauzie vichupi au niangalie pamba kali za wadada?

Naombeni mnipe mawazo manzuri natanguliza shukrani.
Una milioni Moja na Laki Mbili (Kwa maneno), au Kwa tarakimu ni una sh. 1,200,000.
 
Habari za mda huu

Nina million 1200000 wazo la biashara nililolipata ni kununu a pikipiki ya laki 8 alafu pesa inayobaki ninunue nguo za ndani za wadada na vigauni vikali niwe nawatembelea masaloon na kuwauzia je kwa hilo wazo nitafeli?

Maana nitakuwa na pikipiki nitakuwa na uwezo wa kuuza eneo kubwa na mzunguko utakuwa mkubwa.

Je, niwauzie vichupi au niangalie pamba kali za wadada?

Naombeni mnipe mawazo manzuri natanguliza shukrani.
Najua una milioni 1 na laki 2 tuu.
Ukinunua pikipiki yà laki 8 ujue hiyo làki nne inayobaki utamalizia kwa fundi kutengeneza hiyo pkpk.
Hivyo hutabaki na hela ya kuhonga viçhupi hào wadada.
 
Sahihi mkuu, dogo hajapiga hesabu vzr.
 
Back
Top Bottom