BABA BOMBASTIC
Senior Member
- Jul 10, 2024
- 146
- 246
Habari za mda huu
Nina million 1200000
Mimi sikopeshiWazo lako ni zuri ila upo tayari kuwakopesha kama wafanyavyo waha? Kama upo tayari unaijua adha wanayopitia waha?
Wauzie boyfriend.Habari za mda huu
Nina million 1200000 wazo la biashara nililolipata ni kununu a pikipiki ya laki 8 alafu pesa inayobaki ninunue nguo za ndani za wadada na vigauni vikali niwe nawatembelea masaloon na kuwauzia je kwa hilo wazo nitafeli?
Maana nitakuwa na pikipiki nitakuwa na uwezo wa kuuza eneo kubwa na mzunguko utakuwa mkubwa.
Je, niwauzie vichupi au niangalie pamba kali za wadada?
Naombeni mnipe mawazo manzuri natanguliza shukrani.
Bila kazi utoboiKAZI ni kipimo cha UTU
Unamaanisha niniWauzie boyfriend.
Kwa hiyo gender usipowakopa itakuwa ngumu sana kuuzaMimi sikopeshi
Hii ni risk sana, kwanini usijikite na biashara moja tu uka concentrate nayo,pikipiki ya laki 8
Kwamba pikipiki laki 8?Habari za mda huu
Nina million 1200000 wazo la biashara nililolipata ni kununu a pikipiki ya laki 8 alafu pesa inayobaki ninunue nguo za ndani za wadada na vigauni vikali niwe nawatembelea masaloon na kuwauzia je kwa hilo wazo nitafeli?
Maana nitakuwa na pikipiki nitakuwa na uwezo wa kuuza eneo kubwa na mzunguko utakuwa mkubwa.
Je, niwauzie vichupi au niangalie pamba kali za wadada?
Naombeni mnipe mawazo manzuri natanguliza shukrani.
Kuna nguo wanazipenda. Waulize tu hao watoto wa 2000 watakuonesha.Unamaanisha nini
Ndio zipo kibao tuKwamba pikipiki laki 8?
Kwani hapo kuna. Biashara mbiliHii ni risk sana, kwanini usijikite na biashara moja tu uka concentrate nayo,
Unazungumzia pikipiki au kipikipi? ππNdio zipo kibao tu
Mzee biashara ni mdomo wako lazima uwe unajua kuongea vinzuri na watejaKwa hiyo gender usipowakopa itakuwa ngumu sana kuuza
Zipo nenda jijiUnazungumzia pikipiki au kipikipi? ππ
Kuna chupi zile zinakuwa full,kwanzia sidiria mpaka chupi ninanunua balo nzima then nitawauzia kwa bei ya afadhali kidogo namaanisha nitawapunguzia sio kama bei za dukaniKuna nguo wanazipenda. Waulize tu hao watoto wa 2000 watakuonesha.