Naombeni ushauri nifanye kilimo gani?

Naombeni ushauri nifanye kilimo gani?

Sylvanus97

Member
Joined
Mar 3, 2019
Posts
14
Reaction score
9
Jaman naombeni msaada nipo hapa mwanza nataka nilime kilimo cha siku 90-120 nipeni ushauri naweza kilimo cha zao gani kwa hapa mwanza ila mtaji nnao Tsh 200000 eneo lipo
 
Mkuu mimi nakushauri lima korosho au ifuta hapo mwanza.

Au mpunga hapoo mwanza..
 
lima nyanya,,mboga za majani........
 
Back
Top Bottom