Sylvanus97
Member
- Mar 3, 2019
- 14
- 9
Jaman naombeni msaada nipo hapa mwanza nataka nilime kilimo cha siku 90-120 nipeni ushauri naweza kilimo cha zao gani kwa hapa mwanza ila mtaji nnao Tsh 200000 eneo lipo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana mkuuMkuu mimi nakushauri lima korosho au ifuta hapo mwanza.
Au mpunga hapoo mwanza..
korosho siku 90???Mkuu mimi nakushauri lima korosho au ifuta hapo mwanza.
Au mpunga hapoo mwanza..
oky asante kwa ushauriNyanya, kodi eneo mitaa ya bwiru
Asante sana kwa ushaurilima nyanya,,mboga za majani........
Sorry huko bwiru eneo naweza kupata kwa shingapi na linaweza kuwa na ukubwa gani??Nyanya, kodi eneo mitaa ya bwiru