Challya
JF-Expert Member
- Jun 10, 2019
- 469
- 606
Nina mpenzi wng ambae tulikuwa tunapendana sana, ni mwanamke ambae amekuwa akinionyesha maana halisi ya upendo wa dhati, amekuwa akinipenda na kuniheshimu sana tu na hatujawahi kugombana tangu tuwe pamoja. Ila siku ya Jumatano iliyopita nilienda kwake, maana huwa kuna wakati anakuja kwangu na mimi naenda kwake.
Sasa nilipokuwa kwake, kuna muda akaenda dukani akawa ameacha simu yake juu ya kochi( Mimi na yeye huwa hatufichani simu, kila mtu anajua password ya mwenzake), basi nikachukua simu yake, huwezi amini katika kuangalia kwenye SMS nikaona kuna namba ambayo haijaseviwa inaishia 32 ilituma SMS inayosema
Sasa mpnz wng, aliporudi kutoka dukani, ilibidi tu nimwambie alishtuka sana na akaanza kulia akidai eti huyo mtu hamjui, basi nikamwambia kama unasema humjui basi piga hiyo namba saiv nihakikishe kama humjui, akawa anakwepakwepa bila sababu za msingi baadae akakataa kabisa, huwezi alinifanya nikasirike haswa ila ni kwamba niljizuia tu nisimfanye kitu kibaya.
Baada ya kumtishia na kumbana sana akasema huyo mtu anamfahamu na ni Ex wake alikuwa nae kabla ya kuwa na mimi. Akaniamba msamaha sana akinipigia magoti huku akilia, mimi sikuongea tena kitu bali niliondoka hapo kwake nikiwa sipo sawa kabisa.
Kwa jinsi nilivyokuwa nampenda na mambo mengi mazuri niliyokuwa nimepanga na yeye, na jinsi ambavyo analia kuniomba msamaha, nkafikiria tu kwamba sisi wote ni binadamu hatujakamilika kila mtu ana mapungufu yake., so nikaamua tu kumsamehe na tukaendelea kuwa pamoja huku akiniahidi kutorudia tena.
Ila baada ya kumsamehe zikapita kama siku mbili nikimpigia simu hapokei, nikituma SMS hazijibiwi, ila WhatsApp anaview status zng vizuri tu, sasa hivi ni kama siku tatu zimepita hatuna mawasiliano kabisa, na mimi sasa hivi nimeamua tu kuwa kimya. nashindwa kuelewa mimi nimemkosea nini sas, naombeni ushauri wakuu!!
Sasa nilipokuwa kwake, kuna muda akaenda dukani akawa ameacha simu yake juu ya kochi( Mimi na yeye huwa hatufichani simu, kila mtu anajua password ya mwenzake), basi nikachukua simu yake, huwezi amini katika kuangalia kwenye SMS nikaona kuna namba ambayo haijaseviwa inaishia 32 ilituma SMS inayosema
Hivi unablid mwezi mzima?`, daahh nlipata mshtuko hatari maana nlimuamini sana mpenzi wng na sikutegemea kitu kama hicho kwake.Sasa mpnz wng, aliporudi kutoka dukani, ilibidi tu nimwambie alishtuka sana na akaanza kulia akidai eti huyo mtu hamjui, basi nikamwambia kama unasema humjui basi piga hiyo namba saiv nihakikishe kama humjui, akawa anakwepakwepa bila sababu za msingi baadae akakataa kabisa, huwezi alinifanya nikasirike haswa ila ni kwamba niljizuia tu nisimfanye kitu kibaya.