Naombeni ushauri! Nilimsamehe, lakini sasa hanijibu simu wala SMS, nifanyeje?

Kwa jinsi ulivyo zwazwa, inabidi wewe ndo umwombe msamaha kwa kuangalia simu yake na kujua mko wengi. Akikusamehe akuongeze kwenye orodha ya anaopendanΓ  nao sana na kuheshimiana sana. Huo ndo ushauri wangu.
 
Hujui kama mpenzi wako ni mpenzi wenu so mwenye namba mwisho 32 amerudi kuwa tu mpole 🀣🀣🀣🀣ila mapenzi ni upuuzi tu πŸ˜πŸ˜›
 
Ni hivi tushaambiwa mwanamke akichetiwa atasamehe na ataendelea na mapenz ila sio mwanaume. Ingawa ww umemsamehe anaamin haujamsamehe na utamlipa siku si nying kaamua kujiengua mapema
 
SI

Temana nae mkuu
 
Tulia dogo utombe-we akili zikukae sawa.
 
Mwenzako alikuwa kashikilia matawi mawili, kaona moja halina matunda kaamua kuliachia. Ajabu wewe ulishikilia tawi moja tu, pole mkuu mapenzi yanauma ila ni bora kujua kabla ya kuingia ndani kuliko kujulia ukiwa ndani.

Hawa wadada wanawekwa na wanaume tofauti nowadays, huna unaloweza kufanya...relax na uanze upya.
 
Huyo ni kicheche achana naye atakuua bure kwa maradhi,hivi usichoelewa nini mtu akikuashia maana yake hana muda na wewe tena. Usikute hata hiyo simu alivyoiacha ikiwa na hiyo meseji na huyo x wake ilikuwa ni makusudi ujue kuwa ana mtu mwingine, jiongeze blaza huyo ni malaya tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…