The Knowledge Seeker
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 3,418
- 5,028
Yani hii njia kama angeomba msaada wakati amepatwa na tatizo ingekuwa njia bora kwake.Ulifanya kosa la kwanza ila ukarudia tena kufanya kosa.
Ada waliyokutumia ya mwaka wa tatu ungeitumia kwenda chuo kingine then sasahivi ungewaface na kuwaambia hali halisi ili waendelee kukulipia ada ya miaka miwili iliyobaki.
Huna jinsi zaidi ya kuwaambia ukweli
Pole kwa kushindwa kujitambua..!
Haitaji D mbili kujua uyu ajitambui ndio maana kadisco umeona hapo anasema anatumiwa pesa na wazazi ina maana kazi yake yeye nikusoma tu, so kajimix kwenye ujinga either mapenzi au starehe overLakini hajasema au amesha toa ssbabu zilizo pelekea hali hiyo.
Nimemwomba awajulishe wanajukwaa wawezekumshauri ipasavyo ila nasubiri mrejesho.Haitaji D mbili kujua uyu ajitambui ndio maana kadisco umeona hapo anasema anatumiwa pesa na wazazi ina maana kazi yake yeye nikusoma tu, so kajimix kwenye ujinga either mapenzi au starehe over
sawa kabisa ,harafu tuwe tunawauliza WAALIMu shule zakata zilizopo karibu yetu MWL gambe nimetumiwa meseji na chuo mwanangu ame discontinued ndo nnKwakuwa hili suala la Wanafunzi kutapeli wazazi linazidi kuwa kubwa. TCU watengeneze Website ambayo Wazazi wanaweza kuitumia kutambua endapo mwanae yupo ON PROGRESS, GRADUATE, DICONTINUED, ON PT, CARRY, SUP nk ili kuondoa hili ombwe gumu la malezi. Wazazi hatutahitaji kuona taarifa nyiingi za huyo mtoto just kujua Learning status yake baasi. Kinachotakiwa ni Reg.Namba ya mwanafunzi then unasearch inaleta status baasi.
Naleta kama mzazi hii inshu imekuwa kero sana.
Hii itasaidia pia waaajiri wanaokumbana na wanafunzi feki wanaoghushi barua za field na kufanyakazi maeneo nyeti lkn kumbe siyo wanafunzi.
Pole kwa yote unayopitia. Ni ukweli kwamba ulifanya kosa kwa kutojisajili upya chuo na kuwaambia wazazi wako mapema, lakini bado unaweza kurekebisha hili kosa lisijirudie.Mambo wana JamiiForums
Nilidisco Chuo tangu nikiwa mwaka wa pili lakini mara baada ya kudisco sikurudi nyumbani wakawa wananitumia hela ya matumizi naishi tu ili wenzangu wakimaliza na mimi naenda home nionekane nimemaliza chuo wakija kuuliza ajira ionekane ajira ni ngumu sijapata.
Sasa huu ndo mwaka wa tatu huko nyumbani wameanza shamrashamra za maandalizi ya graduation yangu😓yani kila wakiongea na mimi ndiyo maswali ninayoulizwa.
Hapo kuna Dada angu mkubwa ni Afisa Maendeleo ya Jamii. Jana anasema Keki na hela ya joho juu yake mimi naitikia sawa Dada .
Naombeni ushauri waliyowahi kupitia hali kama hii wanisaidie.
Nilikula ada ta Chuo mkuu...nilichojifunza haya mambo usiposema mapema bhc tatizo linazid kua kubwa kila ckuMambo wana JamiiForums