babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Mpk leo ananiangaliaga kwa wasiwasi,ila sijamwambia mtu.Aisee ulifanya jambo la busara mkuu, japo inauma yaani unashuhudia Kaka yako akisalitiwa😪, ila sasa ukifikiria consequences baada ya kumwambia mmh, labda tu siku ungemchana huyo shemeji kwamba siku ile hukupenda alichokifanya na asirudie otherwise utamwambia Bro nadhani angeogopa na asingerudia.
Shem mwenyewe namjua tuliwai fanya
Mpk leo ananiangaliaga kwa wasiwasi,Aisee ulifanya jambo la busara mkuu, japo inauma yaani unashuhudia Kaka yako akisalitiwa😪, ila sasa ukifikiria consequences baada ya kumwambia mmh, labda tu siku ungemchana huyo shemeji kwamba siku ile hukupenda alichokifanya na asirudie otherwise utamwambia Bro nadhani angeogopa na asingerudia.
Demu mwenyewe namjua,tuliwai fanya kazi kitengo kimoja kabla bro hajamuoa na ni alikua mtulivu ,mpole na mkimya haswa.
Siku bro anatutambulisha nikampa tiki 100%.
Naona alianza hayo mambo baada ya ndoa.
Maana bro nae alikua hajapoa kivile.