Naombeni ushauri nimewekewa milioni 500 na wazazi wangu

Mbi
Naombeni ushauri nilikuwa sijui nimewekea 500m na wazazi wangu nimekuja kujua hivi karibuni wiki ya kuanzia j3 kuja wikiend hii nipo hapa naweweseka baada ya mwanasheria wa mzee kuniambia kwa maana alikuwa karibu sana na mzee wazazi wangu wote wamefariki.

Naombeni ushauri wa nn nikifanyie biashara ipi au wazo lolote lile
Mbinu ya kutapeli watu
 
Chukua milioni cheza basketball utanishukuru timu moja tu
 
Naombeni ushauri nilikuwa sijui nimewekea 500m na wazazi wangu nimekuja kujua hivi karibuni wiki ya kuanzia j3 kuja wikiend hii nipo hapa naweweseka baada ya mwanasheria wa mzee kuniambia kwa maana alikuwa karibu sana na mzee wazazi wangu wote wamefariki.

Naombeni ushauri wa nn nikifanyie biashara ipi au wazo lolote lile
Hebu amsheni huyu asije kukojoa kwa kitanda kumekucha mwambieni😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom