Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama zinadumu sawa tu, hta memory card nazo ni vifaa vya kutunzia data, heri memory original kuliko flash fekiSijajua hizo brand nyingine, lakini hiyo kioxera ni sawa na card reader. Ndani wameweka memory card ila inapiga kazi fresh tu
Sio memory card zote zinaweza kubeba windows(bootable)kama zinadumu sawa tu, hta memory card nazo ni vifaa vya kutunzia data, heri memory original kuliko flash feki
Kioxia ndio Toshiba, brand zote ulizo taja ni OG ila kuna asilimia 99% imetengenezwa China na ikabandikwa tu hio brand. Maduka yetu siku hizi yamejaa vitu feki tu.Habari zenu wakuu, nina uhitaji wa flash disk.
Wala sina mpango wa kuagiza nje ni emergency hivyo itabidi ninunue madukani, nipo mkoani brand zinazotamba ni Kioxera, Toshiba, Imation, Sandisk, n.k. ama unaweza kuongeza zako unazoziaona madukani
View attachment 3017317
View attachment 3017318
View attachment 3017319
View attachment 3017323
Hua naona kwenye youtube flash zina speed ila kwa hizi flash zetu za bongo sijawai kuona inayofika 10 MB kwa sekunde, labda kwenye 5 hadi 7Kioxia ndio Toshiba, brand zote ulizo taja ni OG ila kuna asilimia 99% imetengenezwa China na ikabandikwa tu hio brand. Maduka yetu siku hizi yamejaa vitu feki tu.
Cha muhimu angalia speed ya flash husika, kama una file kubwa hamishia kwenye flash uone speed inasomaje, kama ni konokono 10mbps kushuka mchina kimeo, kama inapiga 20-40mbps kupanda angalau kidogo.
Ideal flash za kisasa ni usb 3 na zinahamisha mania ya mb kwa sekunde ila nadra kuzikuta huku kwetu.
Kuna flash inafikia 40mbps? Duh bc mm mshamba sana aiseeKioxia ndio Toshiba, brand zote ulizo taja ni OG ila kuna asilimia 99% imetengenezwa China na ikabandikwa tu hio brand. Maduka yetu siku hizi yamejaa vitu feki tu.
Cha muhimu angalia speed ya flash husika, kama una file kubwa hamishia kwenye flash uone speed inasomaje, kama ni konokono 10mbps kushuka mchina kimeo, kama inapiga 20-40mbps kupanda angalau kidogo.
Ideal flash za kisasa ni usb 3 na zinahamisha mania ya mb kwa sekunde ila nadra kuzikuta huku kwetu.
Kuna flash inafikia 40mbps? Duh bc mm mshamba sana aisee
Mbona 40MBps ndogo sana zipo hadi za GBps, rahisi sana kuweka SSD ama related technology kwenye flash, ukiangalia masoko ya nje hizi flash zina speed mno na bei zake zipo chini, its just wafanyabiashara wetu Na wateja wanauza na kununua kwa mazoea huku.Kuna flash inafikia 40mbps? Duh bc mm mshamba sana aisee
Mkuu nyingi zipo sealed, utawezaje kutest?!Kioxia ndio Toshiba, brand zote ulizo taja ni OG ila kuna asilimia 99% imetengenezwa China na ikabandikwa tu hio brand. Maduka yetu siku hizi yamejaa vitu feki tu.
Cha muhimu angalia speed ya flash husika, kama una file kubwa hamishia kwenye flash uone speed inasomaje, kama ni konokono 10mbps kushuka mchina kimeo, kama inapiga 20-40mbps kupanda angalau kidogo.
Ideal flash za kisasa ni usb 3 na zinahamisha mania ya mb kwa sekunde ila nadra kuzikuta huku kwetu.
Nunua flash za TJ haihitaji wewe kujua ni feki Wala nini kwa sababu hakuna feki japo huwezi aminiHabari zenu wakuu, nina uhitaji wa flash disk.
Wala sina mpango wa kuagiza nje ni emergency hivyo itabidi ninunue madukani, nipo mkoani brand zinazotamba ni Kioxera, Toshiba, Imation, Sandisk, n.k. ama unaweza kuongeza zako unazoziaona madukani
View attachment 3017317
View attachment 3017318
View attachment 3017319
View attachment 3017323
Ndio hapo uongee na muuzaji mkuu.Mkuu nyingi zipo sealed, utawezaje kutest?!
Hapo Kuna speed na size ya flash,Habari zenu wakuu, nina uhitaji wa flash disk.